@cali_omz: Ndugu yangu. Kama leo uko kisimani… Usikate tamaa. Kama leo uko kwenye gereza la matatizo… Usikate tamaa. Kama watu waliokuumiza ni wale uliowaamini… Usikate tamaa. Kwa sababu Mola wa Yusuf bado ni Mola wako. Mwenye kugeuza kisima kuwa ikulu bado yupo. Mwenye kugeuza machozi kuwa furaha bado yupo. Mwenye kugeuza maumivu kuwa ushuhuda wa rehema zake bado yupo. Na mwisho wa kisa hiki Allah anatupa ujumbe ambao kila mwenye huzuni anatakiwa auandike moyoni: “Enyi wanangu! Nendeni mkamtafute Yusuf na ndugu yake, wala msikate tamaa na rehema ya Allah. Hakika hakuna anayekata tamaa na rehema ya Allah isipokuwa watu waliokufuru.” (Surah Yusuf: 87) #Fyp #islamic_video #surahyusuf #daawah

CAli🫶🏻Sharif Omar ba’alawy
CAli🫶🏻Sharif Omar ba’alawy
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 15 July 2026 14:45:14 GMT
264
45
5
2

Music

Download

Comments

mdrsagk
Muhammad amin :
2026-07-15 16:23:11
0
thebigbull632
THE BIG BULL🦍 :
Barakallahu Feek
2026-07-15 16:23:48
0
ashraf.mainer
Ashraf Mainer :
ALLAH akujalie kaka yangu kwa darasa na akupe afya njema uzid kutupatia elimu
2026-07-15 16:41:51
0
totoklhan
toto khan :
JazakaLlah kheyr Akhui
2026-07-15 14:54:02
0
khalid.omar980
Khalid Omar :
👍👍👍
2026-07-15 18:06:11
0
To see more videos from user @cali_omz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About