shekhe njoo zanzibar elimu yako natural na tunaihitaji🙏inshaalah
2026-07-16 05:03:13
296
shine gerl ❤️❤️ :
Allah amesema ficha aibu ya mwenzako
2026-07-16 05:11:03
103
Mohali✨🔥 :
huyu ndo sheikh wetu tosha mambo sijui ya bakwata mnajua nyie
2026-07-16 07:08:46
146
Ashly :
vipenzi vya shekh walid gonga like hapa ♥️✅️
2026-07-16 19:43:53
63
zahra :
Allah akitaka kupandisha mtu darja humpa mitihani na misuko suko. Kuwa na Subra sheikh na kuona Tu Kwa social media lakini nakusikiliza Sana. yalimfika babangu na kabla mauti Yake na siku ya kifo chake kilicho tokea. wote walijuta kwanini hawakuelewa alikuwa na darja gani Kwa Allah.
2026-07-16 04:40:25
52
Mariam pinduka :
tupo pamoja na ww mpaka kiama.Amiin 🤲🤲🙏🙏☝️💯💕💕♥️♥️💕♥️💕♥️💕♥️💕♥️💕
2026-07-16 03:22:53
62
KWAKUNO ELECTRONICS 📺 :
Hakika maneno ya busara ya mzee wetu othumaani maaalim
2026-07-16 08:11:12
70
uncover :
Wengi wanaweza kuona kuondolewa kwa Sheikh Walid kwenye cheo ni shari. Lakini ukiangalia kwa jicho la karibu na kwa imani, unaweza kuona ndani yake kuna kheri.
Allah Akimpenda mja Wake, humuinua kwa namna Anayoijua Yeye. Watu humtambua kwa tabia na sifa zake njema, si kwa cheo pekee.
Kwa mtazamo wangu, hili linaweza kuwa kheri, kwa sababu kila analolikadiria Allah kwa mja Wake lina hekima na linaweza kuwa sababu ya kuinuliwa zaidi. Leo tunaona Sheikh Walid akizidi kujulikana na kupendwa kwa sababu ya sifa zake njema na mwenendo wake mzuri.
Mwenyezi Mungu atujaalie tuone hekima katika makadirio Yake na atutie thabiti katika haki. Aamiin.
2026-07-16 22:36:46
38
Amina Mdoe :
mbon sauti haiendani na picha ya uyu mtu
2026-07-16 15:56:48
12
moodys :
ALLAH ATAKULIPIYA SHEIKH WALID AL HAD. TUKO NA WEWE. TUKO NAWEWE NA TUNATAMBA NAE
2026-07-16 07:56:10
10
Me. :
hawakukutia aibu wewe ila wametia aibu mwenyezi Mungu sasa subili shekhe ward jinsi mwenyezi Mungu atakapo wajibu,,mkabizi mwenyezi Mungu in shaa llah watafedheheka neno lako ni hasibunnallahu waneemal wakili hasibunnallahu waneemal wakili hasibunnallahu waneemal wakili in shaa llah utajibiwa unyonge wako mwenyezi Mungu akuhifadhi kipenzi chetu kipenzi cha mwenyezi Mungu ukicheza shekhe ward basi umetengenezwa vita na mwenyezi Mungu duniani hii ni ya mwenyezi Mungu na sisi ni waja wake lakini kuna vipenzi vya mwenyezi Mungu basi shekhe ward mkabizi mungu atakulipia tunakupenda na wewe ni kipenzi cha mungu atalipia in shaa llah wewe ni simba tuko nawe daima
2026-07-16 06:18:24
16
@alute :
Allhah akuhifadh sheikh letu
2026-07-16 05:44:01
20
💫reee💨 :
mungu akipe subrah amin
2026-07-16 07:46:44
15
🤎official NURA27🌹 :
Allah akufanyie subra ishaanllah 🙏
2026-07-16 04:23:24
17
Ukhtyminnaah :
kweli kabisa....Allaah akulinde sheikh wetu
2026-07-15 22:11:23
12
Mudrick Juma :
inshaallah mungu atakuongoza na atakupandisha daraja...
2026-07-16 05:19:19
6
Shuweha Abdallah :
Tupo pamoja insha allah
2026-07-16 05:34:07
6
Nasbina Sameer :
Shehe Walid pole kila binaadam Ana madhambiyake ya siri na dhahiri hatabiwr kweli umeteleza tunaamini kuwa wewe ni binaadamu kama binaadam wengine mkamilifu ni Allah tuu Peke yake kama ni binaadamu bado hujakamilika
2026-07-16 04:19:15
11
Aslam Msangi :
tuko pamoja nawew hat watie chuk zashubr muamn mungunklajambo
2026-07-16 03:15:02
5
Baby2 5 :
kwani kafanya nini
2026-07-16 01:27:35
8
binty.billad :
haifai kutoleana aibu allah atakustiri shek wetu nakupenda wallahi allah atakulipia
2026-07-16 05:39:34
2
classic_da_b :
kipenz chetu🥰🥰🥰
2026-07-16 17:09:05
1
rehema edambo :
Shekhe wetu tunasimama na wewe Allah akutie nguvu kila mmoja anajijua ktk nafsi yake wewe unaujua ukweli wa mambo ila hao wasioweza ficha aibu za watu Allah atawafurahisha kuwa na subra shekhe tunakupenda
2026-07-16 10:36:36
1
Fatma Tillar :
Allah atakulipia dhulma yoyote shehe wetu
2026-07-16 16:03:18
1
To see more videos from user @stable_mtima, please go to the Tikwm
homepage.