@mpenjatv_: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa agizo zito la wiki moja (siku 7) kwa wamiliki wa baa na klabu za usiku mkoani humo zilizopewa maelekezo ya kufanya maboresho, kuhakikisha wanatekeleza agizo hilo mara moja la sivyo zitafungiwa na kunyang'anywa leseni zao za biashara. Hatua hii kali imekuja kufuatia taarifa iliyowasilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, ikieleza changamoto kubwa za kijamii, kisheria na kiusalama zinazojiri kwenye baadhi ya maeneo hayo ya starehe. #MpenjaTvUPDATES
ukipata matatizo ndio utaelewa kwann mtu anakunywa pombe saa 2 asubuhi
2026-07-16 10:24:26
111
Thomas jairos jr 96♋️ :
kazi hamnipi nimepata tena pesa yangu unanipangia
2026-07-16 12:53:57
36
DIRECTOR MJA GONGO :
kwa mfano mimi sikuhizi sina kazi yoyote ile ila nina vitegaucgumi kibao ambavyo kuna watu kibao wanavisimamia,nikienda baa asubuhi mkinikamata kwa kuniambia nikafanye kazi nitaenda kufanya kazi gani na sina kazi? maana mimi hadi mahesabu wapo wanaopiga,benk wapo wanaopeleka pesa,kazi yng ni kutumia tu kwa lipa namba,mtuache tunywe maana hamtusaidii kutafuta
2026-07-16 13:12:52
32
Bree❤️🍂 :
Sasa ela yangu bado unipangie na matumizi
2026-07-16 19:15:39
35
play girl :
kwa uchumi Gani bhana embu mtuache tunalewa kwa ela zetu
2026-07-17 09:31:05
11
brown punch :
mnaanza kufatiliana mpaka kwenye maisha ya mtu binafsi
2026-07-16 14:57:30
16
kinanda 💋💞🫀 :
watu wamekasirika humu 😂
2026-07-17 05:58:14
9
It’s 🍒Dee money🍒🇺🇬🌸 :
Usinifokee nimepokea ela ya mchezo ntalewa leo
2026-07-16 15:56:55
15
Chala boy :
mm ndo maana niliona utanisumbua nikaamua kuondoka Dar🤣🤣🤣
2026-07-17 14:00:38
5
doctor dady :
kashaanza kuwapangia watu kwenye hela zao
2026-07-16 05:58:01
20
lizzy babe😘😍🥰 :
sponsor ni wang na danga ni langu kwann mtupangie mda wa kuhongana.
2026-07-17 06:15:42
7
sheilagidion92 :
Huyu baba mume wangu anaenda ofisini kwake mwaka wa pili huu anapewa tu appointment, nikimuona huku moyo wangu unavuja damu miaka 2 mtu unafatilia kesi unapewa tu karenda 😭
2026-07-16 17:07:30
9
ney :
kwan baa znauzwa pombe tu? si hata soda na maj jaman
2026-07-17 10:23:38
5
MUHUNI MAKINI👊😡😡😡 :
hakuna timu ya kuitoa Argentina🔥🔥
2026-07-16 09:28:11
7
azzfsl :
huyu jamaa cjawai kumuelewa kabisa
2026-07-16 13:06:57
6
ciannah Chuwa :
umeanza kupangia watu muda wa kutumia hela zao et 🙌😂
2026-07-16 11:23:01
8
carolinepeter17 :
mmeona trh 7 tumetulia mnaanza kutuchokonoa kwenye pombe sasa hapa hatutakubali msee
2026-07-16 09:46:42
6
Watu Huru :
Nadhani Mkuu wa mkoa hana Exposure
2026-07-16 08:48:15
9
Abdulmajid (PILIPILI) :
hao wauza bar nao kumbuka wanatafuta pesa,wanachangia uchumi wa taifa.pesa inatakiwa itafutwe muda wote mteja anakuja bar anaitaji bia ili akupatie pesa huwezi kataa pesaa.
2026-07-16 06:15:55
8
Jydeen Christoper🇹🇿 :
mweshimwa mbona kama anatuchanganya sasa mara aseme kunywa ber Leo hiii imekaaje sasa😂😂😂😂
2026-07-16 08:14:09
8
GLAM BY VEE IN DAR ES SALAAM :
Heh😂😂😂😂
2026-07-16 20:15:09
0
To see more videos from user @mpenjatv_, please go to the Tikwm
homepage.