waziri mkuu wa uholanzi anatembelea baskeli mzee akiwa anaenda kazini
2026-07-15 22:36:58
16
rommy_stylish :
wameambiwa walinde aman na maisha wanayoish pia wanastaili kuish ivyo wameambiwa wawe masikn ili wakauone ufalme wa mbingn
2026-07-15 18:12:59
11
kavishe_mobile_tech-📱📲 :
ni wachache sana wanaoweza kutambua kitu kama ichi . 🥺
2026-07-15 23:17:44
8
BohaGang :
Ardhi Ya Tanzania Imesubiri Mpaka Imejikatia Tamaa
2026-07-16 03:26:25
7
Bishop Leonard leonce kajuna :
Hasante Onesmo umenitia nguvu,kuendelea kuwakataa watoa kafara,nifocus mambo yangu kitofauti,kwani wananchi wenyewe wako bize na mpira na bongo flavor!
2026-07-15 20:37:32
6
BEA SIMBA :
tatizo siasa kwetu Kila sehemu maslahi ya chama sio maslahi ya nchi na watu wake
2026-07-16 08:37:22
5
LukeLM :
Ni kweli Netherlands wametuacha mbali sana kwenye kilimo. Tusijisahau kuwa uchumi wetu sisi bongo sio rasmi (informal) ukitumia data utapata bias answers. uholanzi wamewekeza sana kwenye tafiti hasa kupitia chuo kikuu cha Wageningen (ranked 1 duniani), hali ya hewa yao na teknolojia ya soilless farming. pia usiache kusema kuwa serikali ya NL haina maafisa kilimo. mfano NL anaongoza kuimport maua lakini pia anaongoza kuexport maua hayo hayo. Wenzetu agriculture statistics zao wanatunza vizuri, sisi bado tunafoji data.
2026-07-16 11:40:34
5
kusyeko kusyeko :
ukiifikiria tz ukaamua kufuatilia mambo ya nchi hii na ufisad wa hii nchi hiii unachanganiwa kama sio kufa
2026-07-15 17:45:52
5
Mwana Jamii :
Atakae kusikiliza mpaka mwisho kama mimi na akaweka speed ya 1.5 dah unaweza kulia jamaa kuda jamaa nimepishana nae leo anasukuma toroli la Azam ice cream afu ile basikeli ni mbovu ya mataili matatu ni kijana mwenzangu hakika nimeumia sana nguvu ambayo ingekuwa inalima inateswa na Muarabu ambae hio hera pia atakuwa kadhurumu kwa wanyonge kulipa mishahara isio na tija ya kinyonyaji dah😌
2026-07-15 17:05:02
4
Any :
Njoo huku malawi kiongozi ana msafara wa magari ya kifahari ya kutosha wakati hapa hapa mjini wananchi hawana maji
2026-07-16 06:19:50
4
young swaah :
mzungu ni mzungu tu
2026-07-16 05:51:04
4
michael ndilola :
Natafuta comment za matusi za uvccm😁
2026-07-16 03:50:56
4
2kembo 009 :
achane bwana njooon 2jenge nchii wakuu
2026-07-16 03:29:07
4
🫥 :
hii nchi pamoja na Africa kwa ujumla tuna WATAWALA na sio VIONGOZI 😐
2026-07-15 22:03:33
4
Mona🩷 :
Ukiifatilia Tanzania itakuua kwa presha an huna jinsi ya kufanya any changes,,ukijaribu unatekwa na wenyewe,tulitakiwa tuishi maisha ya Asali na maziwa sisi basi tu🥺
2026-07-16 09:19:56
3
sl45 :
netherland 1581 kuanza tanzania 1961-4 unawezaje ringanisha namashaka na upeo wako
2026-07-16 09:57:08
2
JULIUS RIMOY :
mcc hawajali hayo mzee wao wanalinda amani tuu na kuhangaika kilipa watu waseme heche kala ela za tone tone
2026-07-15 22:27:23
2
Sufiani kopo :
Bro hawa ni vizibo
2026-07-15 18:17:49
2
Promise :
uongozi tulio nao ni reflection ya aina ya jamii tulizo nazo. viongozi wanatoka kwenye jamii hizi hizi za kwetu kwaio tuna vuna tulichopanda
2026-07-16 04:05:17
2
Samson Reuben Ndelembi :
uko vizuri brother, umeniamsha
2026-07-15 19:12:46
2
amararehema :
Wazanzibar Wakijipanga wakatumia hii opportunity ya SAMIA Vizuri watakuwa Europe ya Africa.
2026-07-16 00:47:25
2
mr. mapolo :
nouma sana haya mambo!
2026-07-15 16:49:38
1
d mago jr :
sijuwi tumelogwa nani sisi
2026-07-15 22:19:47
1
To see more videos from user @edutalktz, please go to the Tikwm
homepage.