@kanikibrown: .......................................................... #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 16:19:15 GMT
12389
259
58
18

Music

Download

Comments

fakizojb
fakizojb :
Allah atulinde
2026-07-16 05:54:53
1
olekundos.korir
Olekundos Korir :
respect madam president sisi Africa mashariki vijwa ngumu. Rais Samia may God grant you blessing for ever love you mama
2026-07-15 19:09:38
1
user5845402498001
user5845402498001 :
GOD BLESS YOU MAMA
2026-07-16 03:00:40
0
user8223182618073
Maryam_ :
msikilize wewe inatosha
2026-07-15 17:01:39
7
user4035341875557
chiriss [email protected] :
wewe ukimsikiliza.inatosha
2026-07-15 16:45:09
3
user81607327170521
Wamburagab :
Nchi hii itaharibiwa na sisi wewenyewe .katiba mpya iko wapi tumedanganywa miaka mingi kupata katiba .uchaguzi umekuwa ukiondoa maisha ya watanzania kwanini kusiwe na tume huru ya chaguzi zetu.wewe mzee mimi sikuelewi .
2026-07-16 04:56:18
0
user9750065028378
Deus :
2026-07-15 17:31:20
1
rashid.ame52
Rashid Ame :
tutoe ushamba sisi washamba bado
2026-07-16 06:00:16
1
arsene.makonga6
Arsene Makonga :
mama wewe kweri jasiri tanzania tutashinda hatuto yumbishwa mungu hakupe maisha marefu mamayetu
2026-07-16 14:32:51
0
mobabe2
momobabe😍😘 :
Mm sina maskio
2026-07-16 11:53:44
0
sultankvanygmail
[email protected] :
Asante sana kaka
2026-07-16 18:34:09
0
matano.kitwana
Matano Kitwana :
ni sahihi kabisa
2026-07-16 17:56:00
0
hamza.mwaya..mway
Hamza Mwaya. Mwaya sigwriter :
kaka nonekuelewa sana kupitia speech ya rais wetu. Allah awahifadhini na awalinde
2026-07-16 17:23:56
0
in35570
in :
ainashida .iaaka inasonga mbele
2026-07-15 17:18:01
1
mmmmmmm4993
Mmmmmmm :
tunampenda mama❤️❤️❤️
2026-07-16 18:43:39
0
sadikingonyani1
sadikingonyani1 :
tumepandikishwa virusi vibaya sana,uongo kwetu ni kweli na ukweli kwetu ni uongo. tuko na arosito
2026-07-16 13:38:12
0
sadiki.hamisi.kapwela
sadik kapwela :
ndg yangu nikweri kabisa yani
2026-07-16 13:06:00
0
basbes_shoe
Laurah :
Munguu hii Tanganyika inakuhitaji wewee tuuu, tunaimani siku moja utaiponya.
2026-07-16 12:46:27
0
user24024190945116
user24024190945116 :
Mama kaongea vizuri sana 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-16 06:05:04
0
rashid.ame52
Rashid Ame :
kaka wewe ukosawa tuamshe tumelala
2026-07-16 05:59:37
1
flaviusangelo7
Angelo :
Tunajua umepewa gari bwana wew endesha sisi tunahitaji katiba mpya nchi hii ikiharibika wakulaumiwa ni viongozi wanaotawala sasa ambao hawatakinkusikiliza mawazo ya wananchi kuwa wanahitaji nini
2026-07-16 09:48:18
0
nassraabdallah7
nassraabdallah7 :
m.mungu akulinde mama yetu akupe afya umri na nguvu maneno yako ni kweli kabisa🥰
2026-07-16 09:43:19
0
mariamumasaninga
Mariamu Masaninga :
sanaa nimemskia na kumuelewa vizuri mhe Rais wetu kipenz chetu shujaa wetu mlezi wetu tuko pamoja nae natuko tayarii kulinda amani yetu na kuitunza niwajibu wetu
2026-07-16 21:50:04
0
shariff.hasan
Shariff Hasan :
sahihi
2026-07-16 09:09:38
0
jasba.kipingu
Jasba Kipingu :
kwasasa hata raisi aongee kizuri bado hatarleweka tena nchi bado ipo na kidonda kikubwa sana
2026-07-15 16:46:50
1
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About