@user28882761968133:

bella💋
bella💋
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 16:25:46 GMT
58709
1582
480
192

Music

Download

Comments

bakarikallage7
kallage :
Umeongea san ila mimi nipo upande wa shekh wetu
2026-07-15 17:11:31
126
hazza.hassan1
Hazza Hassan :
ongea vyovyote unavyo taka shekhe wetu tunae na tunatamba nae na IJUMAA tutaswalinae
2026-07-15 20:08:37
45
fatmahshayb
Fatmah shaybu ❤️ :
Shekhe wangu Allah akupe subra
2026-07-15 18:19:44
36
zainabukweka
zainabukweka :
asante
2026-07-15 21:56:06
0
mynalove3
Bint Fundikila :
SUBIR SAUT YAKO WATU TUTUMIE KWENY CONTENT ZETU 😂
2026-07-15 17:18:30
32
nassir.juma
Alhabib nassir juma :
Yaishe Dada yaishe inatosha inatosha kama kusema umesema sana imetosha usiwasikilize watu wanakuhoji hoji ni wanafki ili uzidi kutukwaza wapenz wa Shekh yaache Yaishe sasa please
2026-07-15 17:36:38
25
pr3p6
Belvienne🫶🏻 :
Sasa Mbna wakati unampea hukuja kusema hadharani
2026-07-15 20:48:27
8
fatuma.lukombe
Fatuma Lukombe :
NIPO NAWEWE MSICHANA MWENZANGU UKO VIZURI BWANA MTUME MUHAMMAD YUPO NAWE FUNGUKA TU
2026-07-15 16:53:03
29
nassormbaruk
Nassor Mbaruk :
yaani،،، BARAZA, LA MAULAMAA “wangelisema tunafuatilia, baadaye tutatoa uamuzi rasmi badala ya kusimamisha ghafla” — muono wangu ni huu: Ni hoja yenye uzito upande wa utaratibu na kulinda heshima ya mtu. Kiongozi wa dini anapokuwa na tuhuma au jambo linalohitaji kuchunguzwa, ni busara sana kutenganisha kati ya uchunguzi na hukumu ya mwisho. Kauli ya awali kama “tunalifuatilia suala hili, tutatoa maamuzi baada ya kupata ukweli” ingeweza kupunguza tafsiri kwamba tayari mtu amehukumiwa. Lakini pia kusimamishwa kwa muda si lazima iwe sawa na kumtia hatiani; wakati mwingine ni hatua ya kiutawala ili uchunguzi ufanyike bila shinikizo au mgongano wa maslahi. Kwa hiyo, kipimo kikubwa ni namna ilivyowasilishwa kwa umma: kama ilionekana ni kusimamishwa kwa muda kwa ajili ya uchunguzi, kuna tofauti; lakini kama jamii ilipokea kama hukumu ya mwisho kabla ya mchakato kukamilika, hapo ndipo hoja ya haraka na athari kwa heshima ya mtu inakuwa nzito. Kwa mtazamo wangu, uwazi wa kusema “tunachunguza, uamuzi rasmi utakuja baadaye” ungekuwa njia yenye busara zaidi katika hali yenye unyeti kama hii.
2026-07-15 16:38:04
28
habibty.roughy2
habibty roughy :
Sawa Dada basi itoshe samehe na usimfedheheshe mwenzako msitiri na Allah atakusitiri pia plz😭😭🥹
2026-07-15 20:16:44
8
dasitty1
Sitty Ricco :
wage wage
2026-07-15 21:29:38
0
liliananthony70
liliananthony70 :
ongea uongeavyo shekhe bdo tupo nae bega kwa bega na ijumaa inshallah 🙏 tutasali nae msikiti wa kichangani magomeni😅
2026-07-15 18:57:35
12
mwamjengwa2
Mwamjengwa :
Kwani alikupata wapi?
2026-07-15 16:53:19
11
nasrahat2
Nasrahat Farhat :
ila miwani 🙌
2026-07-15 16:45:15
12
mustafa.issa31
Mustafa Issa :
Burundi to bongo mlikutana wapi
2026-07-15 17:01:20
7
hawahashim6
Hawa Hashim :
Nameshim Shekh Walid pamoja na Mashekh wote hiki kinachoendelea ni fedheha sio kwako shekh ni kwa Uislam pamoja na Bakwata kushindwa kusolve Hii Migogoro ya ndoa tunakosa iman na Baraza letu
2026-07-15 18:56:50
6
oxygen_005
Oxygen :
Imetosha dada naamini suala lako lita shughulikiwa sasa usiendelee kumuumiza baba mtoto wako imetosha.
2026-07-15 18:32:33
6
ftmamahamm
ftmamahamm :
hii ni blackmailing🥺
2026-07-15 16:51:22
5
shibusaid1
hasheem dissigner :
Allah ampe subra shekh wetu
2026-07-15 18:00:39
5
miylegacy
ANTYMIY LEGACY_🎀🛍️ :
Mwanzo nilikuonea huruma ujue🥺chaajab ss hv unanifany nicheke 😂
2026-07-15 22:00:05
0
imranshafii5
🫧🥀ḬṀṘḀṆ_ṖḶḀṮṆṲṀẒ🥀 :
Nimejifunza kwamba hutakiwi kumuamini mwanamke maisha yako yote
2026-07-15 21:42:33
5
glorysandy1
Ms _ Sandy ♋️ 💧 🌕 :
Nlijua Taiya wa kombolela
2026-07-15 20:55:49
4
eshedau
eshedau :
Imetosha dada pumzika ufanye maisha yako utopata muafaka shekhe watu wanampenda
2026-07-15 19:24:52
4
feti.jumanne
Feti Jumanne :
dada inatosha mwezako nimeachiw watot 5.napambana nao na Sina kz.my dear mshukur mung mung anamuukumu mwenye kosa inatosha
2026-07-15 19:21:53
5
jumasadallah
juma sadallah :
nikuoe Mimi basi
2026-07-15 16:58:06
4
To see more videos from user @user28882761968133, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About