Ishi maisha marefu frola nakutakia maisha mema wewe na mwanao bye
2026-07-16 09:09:41
18
Alban💪 :
bora uyo kakuambia ukweli mm sikuambiwa mpka mtoto akafikisha miaka 2 ndo naambiwa sikuamini ila baba ake alipokuja ndo niliamini
🥹🥹🥹
2026-07-16 16:40:59
7
Tunza amani :
😭😭😭😭Rest in peace frola🕊️🕊️🕊️
2026-07-16 15:47:51
1
village boy🌵🪷 :
mtakie mema
2026-07-16 13:26:51
3
ROZALIA $ SOSPITER Official :
Tutaishi wote milele nimegundua wew nimsema ukwer👊👊👊
2026-07-16 15:25:09
2
Bigbrend🧠 :
Daaah tuliokutana na situation kama hii🤔
2026-07-16 11:52:52
15
Samson Bire :
kama utaisi naye ishi naye kwa moyo mzur make hajakuficha na kama haumtak mwambie tu
2026-07-16 15:44:45
2
Jackson f. maday :
Sheria ni Ile Ile mchezaji wa arsenals hawezi kulipwa na PSG
2026-07-16 17:06:38
6
abdallahchembo :
kubali au haijakaa sawa jamani
2026-07-16 14:07:57
0
❤️🔥keymadna💦 :
du uyo n mkweli kama mmi siwez sema uongo 😅😅
2026-07-16 17:11:35
0
323tz🇹🇿 :
kakutia mwingine maswali uniulize mimi kwani alokutia hukumwambia uko nampenzi ? kama wew ulishindwa kunitetea nafas yangu? mm nitaonaje thaman yakua nawe ? ata mimi siko tiar nenda kwauyo mwenye mali yake. kwani mimba uliniomba nikashindwa kukupa ? dahhhhh🙏
2026-07-16 18:23:05
0
🤍🤍 happiness💫💥 :
kua na amani bwana awe nawe
2026-07-16 17:26:14
0
CA Mnyamwezi :
Mnunulie soda ya baridiiii maana huyo mwema 😂
2026-07-16 14:54:24
0
Nicolas Sway :
lea mtoto huyo usiache man
2026-07-18 10:28:53
0
sharipha waryoba :
ni wachache kiukwer ongera kwakua nae👏
2026-07-17 09:08:43
2
Beka0363 :
kwann baraka
2026-07-16 19:19:52
1
Damaly Mahende :
uyo baraka wangu au
2026-07-16 18:43:56
1
magembengusa585 :
Thanks
2026-07-16 14:47:01
1
G Nex :
mshuruku kwa kuwa mkweli
2026-07-16 09:21:14
0
Batin :
kwakwel ndo maan nakupndaga
2026-07-16 17:18:21
1
florah :
Kwahy jina letu ndo la mfano
2026-07-16 10:57:46
1
Fed Casto :
Kwani hukuwepo kwenye kikao cha mwisho??
2026-07-16 06:42:45
3
Trusted ⭐⭐⭐ :
mwambie asante kwa kuwa mkweli
2026-07-16 08:17:07
2
Benlubabula :
Aaah sawa Kila mtu analea kiumbe chake hicho sio changu🤣🤣
2026-07-16 16:40:53
2
Paul :
yeye ndo yupo sahihi kukupa taarifa
2026-07-16 16:10:50
2
To see more videos from user @shineboytz01, please go to the Tikwm
homepage.