True kila mteule jivunie maana mpaka umechaguliwa umeaminiwa na GOD 100% M binafsi nimekubali and im leady kutimiza purpose ilolengwa
I dont care people kunichukia
Whatever My life is My life
Yaani yote uliyoeleza ninayo na mme ameniacha bila hata sababu za msingi yaan acha tu
2026-07-17 20:31:52
1
blandydreadlocks :
Mm nimechukiwa bado mdogo na ndugu nimetengwa kwa ndugu nimeenda hiv nilivyo kuwa Tena nimeenda watembelea tuu
2026-07-16 04:48:35
2
I’M THE ANTIDOTE :
Yaani nme kasirika Hadi Sasa mwisho na anza kuji cheka 😂😁😂😁
2026-07-15 21:40:29
3
Blessed daughter :
ndio Mimi hapa.....watu huona Niko Na pesa Sana,Kwa ndoa ata siitaki ......wanijaribu Na kila njia walichindwa Na Mimi Sasa ilibidi waondoe mtoto wao Kwa Maisha yangu , after 24 years Kwa marriage...but I choose God . iam ok.
2026-07-16 00:53:06
3
Samirastylsh :
Katika maisha yangu nilikua sijui kama kuna kulia kwa sauti kubwaaaaa,yaani Ilikua ikifika usiku nalia kwa nguvuu mpaka naweka nguo mdomoni watu wasisikie
2026-07-15 17:44:53
4
cute_ruu :
me mpk mwalim Wang kpnz yaani wa class asaa nili 💔🤧sana
2026-07-16 15:06:57
3
Shinny Shine556 :
mm nachukiwa na,watu wakubwa ila napendwa na watoto
2026-07-18 16:17:11
1
Arshayna :
nakosaga hela lkn nikikaa hv najisemea ipo siku nitapata ela nyingi tuu
2026-07-16 16:58:01
4
Sadiki Juakali :
da! nateseka saana kwakwel jamann
2026-07-16 12:11:27
0
Hellen josephu :
Mungu atusaidie
2026-07-16 01:40:31
1
Juma Mussa :
je chosen one licha ya kuishi maisha ya shida na tabu .je atafanikiwa au shida ndo mfumo wa maisha yake.naomba jibu
2026-07-15 18:54:42
0
Paulina Likiliwike :
Nimeshawahi kuambiwa na mganga sina shida nikaondoka wakati naumwa nikaenda kwenye maombi nikashinda.
2026-07-16 07:46:40
0
Joyce :
😂😂😂mganga alinifukuza maana nilienda siku ya kwanza akanitibu siku ya pili nilimkuta anaumwa na usiku niliota ile dawa aliyo nipa imemwagiga nikasikia sauti ikisema nenda hospital mi sikwenda hospital nikarudi kwa mganga nikakuta anaumwa akanifukuza nilikuja kujuwa baada ya miaka kupita na kila mganga sikufanikiwa
2026-07-16 04:48:24
2
Saraphina classic salon :
Uyo ni mm
2026-07-16 02:06:35
1
shavola Dancan :
it's true yeah
2026-07-15 22:50:37
1
efremmwenda435 :
Kweli kabisa
2026-07-16 02:01:35
1
Gkwilasa :
Choosen one kwenye eneo la hela hawanaga mipango watumizi sana na wanatumiaga tu pesa bila hofu wakijua watapata tu
2026-07-16 08:27:29
2
J,kacha :
😂😂😂Nisha endaga na walikufa 2 nilipelekwa na hawakunifanyie kitu
2026-08-01 23:53:18
1
Mitchell liz :
2026-07-15 19:25:55
0
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.