@mpenjatv_: Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Young Africans SC, Ally Kamwe, amethibitisha rasmi kuwa uzinduzi wa sherehe kubwa na za kihistoria za Wiki ya Mwananchi msimu huu utafanyika katika mji wa Katoro, Geita.

MPENJA TV
MPENJA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 17:15:35 GMT
40770
2420
91
97

Music

Download

Comments

nynjg43
nynjg43 :
jmn iv nkwel
2026-07-16 07:52:38
1
angel.fabian9263
bite :
wanayanga tumeshapita na brand tayari🥰🥰🥰🥰
2026-07-16 04:04:00
25
user5904777453792
6808 :
me ombi langu kwanin hy GSM wa kator asifanye maajab na sis atulete gari sis wana yanga
2026-07-16 06:59:09
7
kulwa.mbinzagula
KULWA MBINZAGULA :
sasa match itachezewa uwanja gan katoro et
2026-07-16 08:55:35
3
reu176
Mhangwa :
mungu wangu simba tumekwisha
2026-07-16 04:29:43
8
didah1100
didah mashaallah :
yanga raha ma GSM tumefikisha wawili🤣🤣🤣🤣
2026-07-16 05:48:49
7
ayubu5149
Ayubu :
Mpaka katoro tumepata heshima2
2026-07-16 06:49:27
6
izacki.daudi
young tz🇹🇿 :
yanga oyeeeeee💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚
2026-07-16 05:53:27
7
lbnj49
LB🖤 :
GSM atakuepo kumbe😂😂😂
2026-07-16 05:41:20
5
user18672232149586
user18672232149586 :
yanga bingwa❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-16 07:05:23
3
pendoloveness0
mumy kocha :
watu weweeeeee watu oooooooooo
2026-07-16 08:56:22
1
honeyboy_o
Honey boy :
tukiwaambia Yanga ni timu ndogo muwe mnaelewa
2026-07-16 09:18:36
1
saidah.erasto
Saidah Erasto :
nipeni tarehe jamani nipo tunduma nianze safar mapema
2026-07-16 05:45:09
2
j4457257
J4 :
kalibun
2026-07-16 07:37:42
1
exclusive77453
exclusive77 :
😂😂sjui nacheka nini
2026-07-16 07:18:17
1
user9090068835872
salma gadafy361 :
mungu wangu simba tumekwisha
2026-07-16 06:18:04
1
neemavennace
ney 🦋♥️ :
nipo hapa tunawasubir kma ni kwel
2026-07-16 05:25:18
5
user6672370825074
Bartoni Julius :
kalibu sana katoro
2026-07-16 12:23:02
0
dee377577
dee1 :
Mimi mwana simba lakini nitaenda katoro🤣🤣🤣🤣
2026-07-16 11:19:20
0
desiri94
desiri :
yanga 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛
2026-07-16 11:18:16
0
anifa1020
Anifa chazua :
hiii imeenda
2026-07-16 11:14:49
0
user4102661865667
ibonel :
yanga bingwa
2026-07-15 19:31:20
0
To see more videos from user @mpenjatv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About