Wee Dada jmn acha Oscar amalize ongea
nawe tusikie point zako
2026-07-17 08:36:03
0
Jojo4222 :
Well said
2026-07-16 11:16:03
0
Daudi Kijugu :
nikweli bro Oscar
2026-07-16 19:02:48
0
festos_hair :
Fact oscar
2026-07-16 07:00:44
0
user5952884067473 :
Upo sahihi brother Oscar..
2026-07-16 07:33:02
3
MTAALAM🌍 :
Manara hanaga point hastaili kwenye hiki kipindi
2026-07-16 05:01:04
25
Patricia :
kuna wale tunaenda bar na af10,tunarudi na Jaguar master 2,savana5 ,maji kubwa,na af20 na usafiri juuuu😂😂😂😂😂
2026-07-16 05:44:41
12
Cazein26 :
Mtu anafanya kazi usiku asubuh analewa anaenda kulala
2026-07-16 03:58:13
15
edignammambale69 :
walevi ni wakarim sana mungu awabariki
2026-07-16 08:01:57
3
user4084567284619 :
vp kama wako likizo
2026-07-15 19:35:11
1
Jagaban of the Universe :
Kila mtu whenge maisha yake ss wengine baa ndo ofisi zetu na ajira zetu
2026-07-16 06:21:21
1
abbas juma :
walevi tunapendana sana mungu atubaliki
2026-07-16 09:20:22
4
Jackson J. Marko :
Manara kitu chochote kitakachosemwa na mtu wa serikali yeye yuko kwenye upande wa serikali hafai kua kwenye hiki kipindi maana anaingia kama government defendant na sio mtangazaji
2026-07-16 07:01:02
2
SHAMI :
manara analeta siasa maji taka
2026-07-16 08:26:40
1
makagaej :
Naungana na oscar 100% hat mm nlkuwa naishi maisha hayo lakin tangu nipate ajira silewi kwakuwa asubuh nahitajika kazin
2026-07-16 04:27:44
4
DalaliGoba_Haule0077 :
😁😁😁😁mmenichekesha mnoo
2026-07-16 11:50:35
1
ritte.miwan.mwanza :
manara anajibu kisiasa anakwepa apo anapoaikia watu hawana ajira
2026-07-16 11:52:08
1
octavianmgaya :
shida mnaweka wanasiasa kwenye vipindi vya wananchi..
2026-07-16 12:18:43
2
Steve Lugendo :
kama yupo likizo je?
2026-07-16 10:28:02
1
Aslay :
Kipande cha manara mnakikata tusimskilize sindio I got u JMTV
2026-07-16 08:40:25
1
Muharram_17401 :
manara anaongea siasa
2026-07-16 07:16:59
1
Grace Joseph :
si kweli kazi tunazo na tuna kunywa asubuhi hadi asubuhi na tunaingiza mapato serekalini
2026-07-16 08:22:14
1
Eng Edwin R Hildegard :
kupiga vyombo hakuna muda endapo umetimiza majukumu yako na ratiba
2026-07-15 21:57:39
2
Trainer jr. :
Hapana wengine wametoka kazni asbhi
2026-07-16 00:11:55
2
To see more videos from user @jmtv_tz, please go to the Tikwm
homepage.