kunajamaa nasikia anajitapa kuwa anakuweza je' unataalifa zake nakama una taalifazake mbona uko kimya bro tupe majibu
2026-07-15 17:54:14
6
LAST SIGN✍✍✍ :
unatumia device gan kaka maaan huwa zinaendana na device usiiipite hii comment 😊
2026-07-15 18:29:50
7
@𝐟𝐚𝐛𝐢𝐚𝐧 𝐥𝐮𝐢𝐳 :
mm natumia Samsung A05 nipe zake bas kk
2026-07-16 11:54:40
2
जॉन :
new player ,,tueleze maana ya ads,lens,ipi inashughulikia recoil and how to make. your own sensitivity tafadhali
2026-07-17 10:44:03
3
Michael11.plan A :
kaka hizo promosheni mbona zipo mbali zina maan gani sijazielewa mey😳😳
2026-07-15 18:30:28
2
THE G.O.A.T :
big fan
2026-07-16 08:26:46
1
Big wiz 👣 :
full push
2026-07-16 08:45:55
1
Jy :
kak tup sentivites code sorry lkn
2026-07-16 05:32:24
2
TIKTOK爱•samurai✓༒: :
code
2026-07-16 13:10:10
1
immu :
unyama
2026-07-16 08:07:06
2
VIP๛FULLPUSH :
WATU ::::: NASKIA SENSITIVITY HAZIKUBALI KWENYE SIMU NYENGINE ( ‘’. Wengi wanasema ivoo ila izo izo zinakubali popote ispokuwa kama hutumii gyroo bas hazikufai na kama unatumia gyro kidgo unatakiwa ukaze na izo za watu ili uzizoeeeeeee sensitivity ni mazoezi yako tu CHA MUHIMU DEVICE ISIWE LOW TU YANI iwe 8 ram kwenda juuu ndo utainjoyyyy 😎😎😎
2026-07-15 22:25:35
0
ALPHA GAMING :
Kaka Wewe unajuwa 🔥🔥🔥🔥
2026-07-15 17:52:45
1
Elia :
thanks
2026-07-15 18:17:35
0
chrissnsheka_tz :
gt30 pro 😊
2026-07-16 17:28:19
1
11 :
Full pushhhhh🔥🔥
2026-07-16 04:23:06
1
Nabil 001 :
naomba sensitivity code
2026-07-16 14:54:29
2
PX彡P͜͡AVAN :
tuna taka tips za close na long range
2026-07-16 03:39:47
1
Buyeye Peter :
nnaomba bax setting za kujamp kwa palajuti halaka yan niwe nnafika alizini chapu
2026-07-16 07:05:07
1
Shareed Khalid :
Hakuna iPhone 15 pro max
2026-07-16 02:22:34
1
Dax Denso :
sijawai kukwambia au ku-comment chochote ila uyu jomba kwny PUBG namkubali
2026-07-15 19:42:02
1
To see more videos from user @vip_yuzan, please go to the Tikwm
homepage.