@bongofive: “Atakuwa na msongo wa mawazo mkubwa sana,” Bosco Mwanasaikolojia kuhusu tukio la Binti Monalisa kuagwa na baba yake kwa zawadi ya Tsh Bilioni 1. Kuangalia full interview tembelea YouTube ya BongoFive Imeandaliwa na @yasiningitu & @samirkakaa

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 17:46:58 GMT
84817
2840
79
55

Music

Download

Comments

jonathan_mayoba
J'than mayoba :
pointless point,
2026-07-16 11:43:57
0
rey.zablon
reyzablon :
Uyo bon n tajiri mkubwa mnoooo mnoooo mnooooooooooooooooooo
2026-07-16 07:31:47
0
annajulius12
nana :
kitu mnachopaswa kujua ni kwamba alietoa bilion moja sio wazazi ni kamati huyo mzee anaweza asiwe na utajili huo ila akawa na watu wengi na wenye kutoa michango mingii na mikubwa .
2026-07-16 04:24:08
16
samstig2
Stig jr :
kwenye maisha jizungumzie ww usizani kila mtu yupo kama ww kuna watu hata mambo ya sherehe huwa hawataki na hata ikiwa kawaida wanakuwa normal
2026-07-15 18:10:44
20
divdora1
Divdora💦 :
mbona mnapenda kujadili maisha ya mtu mshajua na atakuwa na msogo wa mawazo 😂😂😂
2026-07-16 05:58:01
6
dianamangwangwa1
Didiy :
Mngeachana na maisha ya watu😆😅
2026-07-16 06:47:47
10
msomi.bwana
Msomi Bwana :
2026-07-16 05:48:31
0
dorine.store4
dorine store :
uyo dada atamsaidiaa
2026-07-16 05:18:00
0
titybest
tiy collection 🛍️ :
nampa pole afanye kitu kulingana nauwezo wake asiangalie upande wa pili umefanya nini
2026-07-16 11:42:42
0
0780420121james
James umeme kariakoo :
yuko na pesa
2026-07-16 04:33:18
2
loveness.joseph91
loveness joseph💙 :
😂😂😂😂ila kufatilia wa2
2026-07-16 08:09:18
1
sijaonacharles253
Sijaona Charles :
kamati ndio imetoa pesa hizo acha kuharibu saikolojia za watu
2026-07-16 09:11:14
2
husseinmohamed9209
baba p :
sasa Wana bilin na millioni mianne Bado wawaze ninini
2026-07-15 19:50:45
6
user1496376311197
Regina :
Bwana harusi ni tajiri swala la hela siyo tatizo lake namfahamu vizuri sana
2026-07-15 19:47:24
4
user9560150304265
feka_jr :
hapo issue ni ndogo tu ili nisiaibike nitamshawishi mke wangu anipe hiyo bilioni moja kisha naongezea milioni miatano ili ionekane kuwa Mimi nimetoka b 1.5 😄😄
2026-07-16 12:40:10
0
agness.h.mayanga
Agness H mayanga :
mwanaume pia anazo bhana msiogope wapendwa
2026-07-16 12:24:50
0
georginarodtiguez
Georgina Rodriguez :
kwani hawakujuana kipato before
2026-07-16 11:05:20
0
japhetdonmathias
Japhet Don Mathias :
live
2026-07-15 18:45:17
0
loveness2490
❣️Official Jj😍🤎 :
ni tarehr 19 tu jpli tunasubiri asituangushe KAHAMA kwenye harusi😁😁😁😁
2026-07-15 21:33:07
1
deboraelisa155
Debora Elisa :
ila huyo si baba yake mkumbuke, ni baba wa kujitolea kwa vile binti alikuwa mtii na muaminifu.
2026-07-16 08:18:04
0
munyangende
munyang'ende :
afanye kwauwezo wake
2026-07-16 12:02:38
0
jonathanimaduka
msukuma@OG :
uchumi wa mwanaume anaeoa unalingana na ule wa baba mkwe kwa hiyo pesa sio shida
2026-07-16 09:57:23
0
yusternyirenda
yusternyirenda :
nikichukia billion 1 niliyopewa sendoff na mume wangua akachukua billion 1 yake na 1 ya baba yake, 1 ya mama yake akionyesha kisha akarudisha 😂😂😂
2026-07-16 10:16:02
0
alphoncemilambo
alphoncemilambo :
ajapewa pesa bosheni kwani hizo pesa zake
2026-07-16 08:52:10
0
user0695653092
𝓳𝓾𝓵𝓲𝓾𝓼 𝓳𝓸𝓱𝓷 :
kwan bwana arusi yeye anasemaje😁😁😁
2026-07-16 08:41:41
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About