@jmtv_tz: Haji Manara @hajismanara__ Akizungumzia usajili unaofanya na klabu ya Al- Ahli Tripoli ya Ribya anasema Usajili wa Jean Claude Girumugisha na Fiston Mayele unagharimu dola milioni 9 sawa Bilioni 13 za kitanzania. Bajeti ya miaka 5 kwa simba na Yanga tripoli wamesajili wachezaji wawili "sisi tunataka kuzungumzia champions league gani" - manara 📽 CC @wasafifm #mpwagejulius #JMTV #mpwagedigital