@guts_health_: Kama una tatizo la koo na unatumia pombe jifunze jinsi ya kuacha pombe #usatiktok🇺🇸 #KooKukwaruza

Guts Health |+255767343959
Guts Health |+255767343959
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 18:31:18 GMT
120828
1970
114
617

Music

Download

Comments

faizabinasar
Faiza Binasar :
Alafu mirra
2026-07-16 07:35:05
0
sarahtumuheirwe49
sera🇺🇬🇹🇿 :
what about the one of bed wetting?
2026-07-16 13:45:46
0
bembeya.antoni
Bembeya Antoni :
Nilijaribu kumpa dada yangu hajaacha kabsa ndiyo ameongeza speed ya kunywa
2026-07-17 05:51:49
2
smartnana27
Naa♑️ :
Tiba yakuacha pepsi uwiiiii
2026-07-16 17:34:12
2
daud.bucheye
daud bucheye :
kaka tiba n mamz yako mm nakunywa filikis yako nasindikiza castle ya barid
2026-07-16 11:02:49
7
rogerskamala16
ROGERS KAMALA'S GT :
Tumefikiwa sasa asiione hii mama mtu nimeisha😂😂🙌
2026-07-16 14:20:28
2
kaneza418
kaneza :
naombeni ya kuacha peps
2026-07-16 07:17:06
2
gabriel05944
G POUL :
pia na mafuta ya sangara
2026-07-17 06:42:38
1
benadetasteven415
mbilu :
sio kwa uyu mhehe wangu jmn nitulie tu nisubirie muujiza wa bwana
2026-07-16 09:00:32
1
lamadhan8806134234691
ramadhani shbiry :
je ya kuacha yeto
2026-07-16 18:29:09
1
ndossi32
BINTI NDOSSI🙏🏿💋❤️ :
Mama angu asione hii jmn ataakikisha amenikomesha 😂😂
2026-07-16 14:08:28
6
anthonia.wishi
Julybeib :
dawa ya hisia jmn🥺 no feeling please
2026-07-16 16:29:54
0
dizzoone32
Danieli John :
naomba kujia na bangi unaweza kuacha kupiitia hizo firigis?
2026-07-16 07:03:14
0
mangaya2050
badface🇹🇿 :
kuacha kamali
2026-07-16 13:39:25
1
fermydaddy
Fermy2 :
Kumbuka kuna mwengine hana pombe maalum wana kunywa kila pombe yy bora anywe kuliko kukosa kunywa
2026-07-15 20:17:06
0
goldsilver163
goldsilver163 :
firigisi ndiyo nini?
2026-07-15 20:10:35
0
user96725969477864
tatiana :
Mimi nisaidie kuacha sigara
2026-07-16 12:27:39
3
gasperchambi
Gasper Chambi :
dawa ya kuacha sigara jamani
2026-07-16 18:28:51
1
mrsdavs8
🦋🦋 :
Kuna kitu kinaitwa kiu ya pombe
2026-07-16 16:39:37
1
user6999886378411
FABRICE KAMWANGA :
firigisi nini kwa kiswahili kyepesi
2026-07-16 10:09:12
1
user9184458365443
charity@danny :
sjaelewa jamani ngozi ileyandani enyeinaifadhi uchafu au ningozi ya njee please
2026-07-17 12:45:26
0
pibsho
@150 :
jamani nimempa lakini haijasaidia
2026-07-17 12:52:24
0
drnairessalaamtz
DrNails :
Naomba mke wangu asisikii 😂
2026-07-17 11:45:14
1
jessus417
🌼🌸 :
Sasa gongo ni nyeupe nikimuekea Si atakoma jmn
2026-07-17 11:26:32
0
elviraproducts
ELVIRA PRODUCTS🥰 :
imeisha hiyo
2026-07-17 12:39:03
0
To see more videos from user @guts_health_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About