unasema kweli sheikh sisi wanawake niviumbe hatari sana
2026-07-15 19:02:16
12
mariamally225 :
ni kweli lakin allah awajalie wanaume
2026-07-16 05:06:15
2
Shirima Fety :
mume wangu akiona hii utakua wimbo wa taifa 😁😁
2026-07-16 04:36:47
2
yshaa :
🤣🤣hpo kweny talaka tungeacha sisi jmn 🤣
2026-07-16 03:23:00
5
lioness :
sio mwanamke tu sema binadamu 💔😭
2026-07-16 05:56:54
1
nafuueletronics_supplier :
hata sisi tupo ivyo ivyo wote sawa
2026-07-16 04:17:30
1
Happy Suzy :
Tuachen jmn khaaaaa😂
2026-07-16 05:04:27
1
zufatkhaabas :
alafu lais kubadilika
2026-07-15 23:23:30
7
user8610459387490 :
kweli lkni hata ukiishi nae kwa wema haijalishi akitaka kukula Bado atakuua tu
2026-07-16 03:44:36
3
user6126531920077 :
yamenikuta hayooo aisee Allah anisaidie peke yangu siwez Allah anisaidie aisee... NILIKUWA nipo juu nimeanguka mpaka 0...afu akazua jambo kubwa mno na akasepa aisee nyie sikien TU yote aliosema SEMA SHEKHE hajakosea HATA nukta...
2026-07-16 00:54:10
3
Dida :
sahihi kabisa mwanamke anaweza kukupandisha na pia kukushusha dk 0
Allah atusamehe
2026-07-15 21:10:04
6
Muhidini Feruzi :
duuuu🤔
2026-07-15 20:57:10
2
salmaabdalla4559 :
kweli kabisa
2026-07-15 19:46:29
2
Janat Omar :
nikweli unamaneno kuntu hongera baba
2026-07-15 19:51:29
2
hawamango :
kabisa
2026-07-15 19:11:20
2
IBRAHIM OFFICIAL :
nikweli shee upo sahihi
2026-07-16 04:00:28
1
Khadija khamisi :
kweli
2026-07-15 20:22:14
1
ramsen kalkata :
Mungu ashasema sio watu wazur.Kuna nin tena hapo
2026-07-16 04:30:42
1
Tina Kahati :
Kwali kabisa
2026-07-15 20:54:48
1
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm
homepage.