@m.faction:

M faction💃🕺
M faction💃🕺
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 19:57:31 GMT
155879
4152
218
552

Music

Download

Comments

kasembo.masele
Kasembo Masele :
tena m south 😂😂😂😂😂
2026-07-17 18:55:47
1
n.a7607
naya🥰 :
ndo zawadi za kumpa mtu sasa hizi, sio unanipa bag la nguo alokwambia sina mfuko wa kuwekea nguo nani?
2026-07-17 06:02:02
123
dianne.hendrk
Dianne Hendrk :
Hawa ndo kiboko Sasa unajenga bila kutaka 😂😂😂😂
2026-07-17 04:28:31
46
maryciana495
Maryciana :
karbun mjee taratibu msikanyaganee tuuu
2026-07-18 14:19:42
1
user4347267137212
Anna :
Mawifi Zangu na Mashemeji Zangu Nawapenda 🥰
2026-07-18 06:43:05
7
kananaabdala
shamba la mchele :
kama nawaona waume zangu
2026-07-18 05:42:16
2
ummy3252
ummy :
hawatulii na mke mmoja mjue na hawapendi ushauri😂
2026-07-17 11:35:10
10
janelebayo466
@MimyAspenazy :
mm ni msukuma na usukumani nitabaki😂😂
2026-07-17 17:35:09
9
jaylinemartha
jayline martha :
tena asinishauli mtu
2026-07-17 13:00:23
1
user9810026637118
happyness❤️ :
😂😂😂 kwakwel watakuchanganya
2026-07-17 22:16:20
1
shawal7619
Shawal :
haaha
2026-07-18 06:59:03
0
user9638393348117
@stephyTz :
hapo safi siyo koti jmn
2026-07-18 06:56:18
0
user558500559928
Kasanga AgriTech 🫒🍓 :
umenikumbusha harusi ya kaka angu 2014 alipewa hizo bati na misumali baada ya harus aliweka boma tu bati zilikuwepo za kutosha 😄😄
2026-07-16 20:02:38
7
realy911
African black :
SI mnitaftie namimi huko
2026-07-17 18:34:35
1
momyakeg2
Gyda :
jaman haya mkuje basi watan zangu 🥰
2026-07-17 17:59:41
1
wande974
wande🇹🇿💜 :
ndugu zangu namabati 😂😂
2026-07-17 12:56:44
1
adelinanetherlands752
Adelina Netherlands :
aisehh ni wapi huku
2026-07-17 13:58:14
0
bibianakadasokadaso
sina Neno :
🤣🤣🤣 kweli kabsaa jamani
2026-07-17 11:07:45
0
saby.girl18
saby girl :
tatu wakae wakijua utama wa hili beat tunalielewa sisi t
2026-07-18 14:25:53
2
diannaleonard788
queen_d👸 :
hapa nikutafta2 tofali nakuanza ujenzi
2026-07-17 17:35:22
0
user70170162548635
Lizzie :
nirud nyumbani kumeniga 😅
2026-07-17 08:57:55
2
To see more videos from user @m.faction, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About