Hii nilisikia muda sana ila imeshi,na km alitabiri hiv,huyu mtu yupo wazi sn
2026-07-16 05:29:24
7
waupendo :
hii video niliitafuta sana kipindi cha ramadhani sasa huyu ndio shekhe ambae anaongea ukweli popote
2026-07-15 21:51:38
24
amjessy :
Mimi ni mkristo but walid alikuwa Poa sana. Asubuhi naingia live yake anafundisha vizuri Hata Kama likosea aangeitwa wamsikilize but kwasababu anakubalika wameweka unafiki tu.
2026-07-16 06:37:29
7
Yassini G. S. m :
nikweli kabisa shee umeongea ukweli
🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-16 00:01:24
11
THUGGER😎💔 :
Takbiiiiiir🙌
2026-07-16 01:08:23
9
zakariadesha :
Hata yule dada Atakuwa sahihi MUNGU niwakwetu wote
2026-07-16 03:11:57
5
Zena Bakari :
Takbiiiiir
2026-07-16 08:22:13
2
baruti mahuba :
upo sawa Allah akuifaz
2026-07-16 07:45:43
3
samira :
takbiiiiir
2026-07-16 06:36:36
1
0fficialfalcon.tz :
😎😎
2026-07-16 01:19:50
1
sukhs collection 47 :
Allah akupe maisha marefu sheikh Muharram🤲🤲
2026-07-16 08:29:56
3
To see more videos from user @ahmadimaliki1, please go to the Tikwm
homepage.