not all profession bro Engineering na medicine lazima usome 😂 na pesa iko kwa wingi.
2026-07-17 15:45:59
1
Alex Pondo :
very correct 😂😂😂
2026-07-17 08:50:17
0
shukuboy :
perfect
2026-07-17 14:53:38
0
Achraf Hyena :
nitasoma tu mamae sina haja na mafanikio ya mtu kila mtu namaisha yake aisee😂😂😂
2026-07-17 07:56:50
33
pinch :
Guessing power...during the days 😂😂
2026-07-17 08:56:50
0
you.suf :
hapa leo umejiambia bro😂kuna book smart na street smart n some ppl have it both...but wengine wanalazimisha street smart
2026-07-17 14:02:39
0
Mathias Mohamed :
wambie brother
2026-07-16 10:12:46
0
nameless🇧🇳🇹🇿 :
Bro Nakubaliana nawewe upo sahihi kbsa japoo kuna watu watakuchukia
2026-07-16 11:25:15
39
fauzy_legend :
Kusoma ni kitu kingine na utajiri ni kitu kingine. Ila all in all kusoma lazima no doubt
2026-07-17 05:59:00
9
user2152541810246 :
pesa kwangu sio kitu ila elimu ☺️it's something important yaan kujielewa ni Bora...mmi pesa napenda kias
2026-07-16 18:39:33
7
joy 369 :
mungu alivyo wambia watu wasome hakuwambia watakuwa matajiri au imeandikwa.
2026-07-16 12:18:31
11
Lilybarbie💞 :
😏😏nitasom Kwa faida yangu co kwaajili ya wengne
2026-07-17 08:24:10
3
aminally💕 :
2026-07-16 18:42:25
3
johnmvrjr :
in simple word ...they like reasoning
2026-07-16 11:16:04
6
ŜØṢ̌ØXAUUSD ✨️ :
na hawawezi kutake risk
2026-07-16 10:57:37
7
CHRIS :
Nakubaliana na wewe 75% na napingana na wewe 25% nakubaliana na wewe ikiwa msomi atashindwa kuweka alichokisoma kwenye akili yake katika vitendo, lakini wapo hawajasoma kabisa, na wana win maisha tena kuliko walosoma, mimi naona what matters ni, mipango mikakati utakayoitumia kujikwamua kimaisha, either umesoma au haujasoma
2026-07-16 09:39:02
7
phales mnyam :
mtu akisema ukweli watu wanaumiah ila tukidanganyaa ndoh tuna furah
2026-07-17 07:13:20
1
user1106990800046 :
Kweli
2026-07-16 02:30:35
3
joy 369 :
wajua siri ya huwo utajiri waliokuwa wakipiga kelele darasani.
2026-07-16 12:17:19
1
Tee🌹🦋 :
Kabisaa
2026-07-17 06:48:00
1
hayaat ❤️❤️ :
na Kuna baadhi ya kazi utazikataa utaona sio hadhi Yako 🤣🤣🤣🤣
2026-07-17 05:42:12
1
Yusuf :
bro umenkumbusha tukiwa shule pamoja KIBOKONI
2026-07-16 05:23:16
5
Neem oil products :
Msomi sanaa huwa anasahau mungu ndo mwenye elimu, anamfaidisha na anamuelewesha anaetaka na elimu aliyompa. Key is Tawakkal in God, (Trust).
"anayetawakkal kwa Allah basi amemtosheleza, na anampa rizki kwa njia asizotarajia." Quran.
2026-07-16 15:05:44
1
Abdalla Rashid :
kweli bro
2026-07-17 17:32:35
0
didah :
Swadakta
2026-07-17 17:41:57
0
To see more videos from user @duro4eva_, please go to the Tikwm
homepage.