Mbona hayo mm ndio maisha yng kufuta watu machozi huku nikitabasamu alafu nikiwapa mgongo najificha kulia peke yng mm ni mtu ninaewapa watu furaha tumaini kutia nguvu nahicho kitu kipo ndani yng na ninahyo baraka lakin mm hakuna mtu anaeona maumivu yng wala hakuna wakuniambia nyamaza nilishazoea kujipa furaha mwenyewe na kumtafuta Mungu sana nashkru Mungu nimempokea yesu miaka 10 ilyopta🙏🙏
2026-07-28 17:43:36
2
amina pita :
🥰🥰🥰
2026-07-15 22:43:41
0
To see more videos from user @cgawah, please go to the Tikwm
homepage.