@ali_wisdom: Fikra zako ndizo msingi wa mafanikio yako. Usikate tamaa hata kama maisha yatakupitisha kwenye dhoruba nzito. Kuwa na imani thabiti kwamba kila anachokuchagulia Mwenyezi Mungu ni kheri, hata kama kwa sasa hukielewi. Endelea kuamini ndoto zako, na uzifanyie kazi kwa bidii na subira; ipo siku zitakuwa uhalisia. Kumbuka, kila siku ni mwanzo mpya wa mafanikio, na kilichokupita hakikuwa sehemu ya riziki yako. #creatorsearchinsights #viralvideo #ali_wisdom

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 22:30:19 GMT
952
91
0
7

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About