jaman tupaze sauti watuludishie shekh wetu tusiishie kwenye coment
2026-07-16 18:11:46
2
sayunimtey36 :
Mimi ni mkristo ila shehe waldi yuko vizuri sana wanamwogopa wanahisi atachukua nafasi zao hii kesi ni kama ile iliyomkuta mchungaji eliona kimaro kijitonyama ukiwa smart watu hawakutaki
2026-07-16 20:27:24
1
sham_henna_fragrance :
Allah atulinde na shari zao. Allahumma amiin Yaa Rabbal alamiin
2026-07-16 12:27:18
3
Amina Zungu68 :
upo sahihi shekhe
2026-07-16 21:24:00
0
hamisi :
kabisa
2026-07-16 17:54:05
0
Nassoro Juma :
umenikumbusha mbali sana icho kisa shehe wangu,😁
2026-07-16 09:31:05
2
Mwankenja's :
huyu ni zaid ya Mufti
2026-07-16 20:21:55
0
12 :
ni kweli shekhe wetu
2026-07-16 14:24:02
1
Mjukuu Truck Master :
Hasidi ni mtu mmbaya sana
2026-07-16 19:10:30
0
madam nana :
tuko pamoja Na Sheikh wetu akuna mukamilifu wamuridishe full stop tuna fata maneno Yake ya kutoka kinwyani mwake Na kipaji Allah alimupa yangine atutaki kujuwa kwani Sheikh naye Ni mwanadamu kama sisi mumurudishe pls muache wivu🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-16 17:54:17
0
Shagala one🌍🇹🇿 :
Wanafki wengi adikwenye dini nomaa
2026-07-16 05:27:04
2
imaniathuman :
jamani
2026-07-16 19:10:35
0
Hassan Hussein :
mama Samiaa tunatakaa msaada wakooo turudishieee she wetu Walid
2026-07-16 18:59:28
0
Fatuma Ulotu :
jamani mrudishenisheee wetu jamani
2026-07-16 18:55:26
0
Fatuma Athumani :
kabisa kabisa
2026-07-16 10:50:29
0
Zalihina Abed :
kama uliyajuwa jamani
2026-07-16 10:47:07
0
…. :
Kabisa
2026-07-16 13:13:32
0
shai :
husda
2026-07-16 14:45:56
0
mizzonishai :
kichangani apo nilikuepo daaa
2026-07-16 16:32:11
0
ZM :
YARABHI PAZURI UMEMHIFADHIA NA KILA KHATUA ATAYOPITIA JAZA NJEMA IMPITIE ILI ASAHAU MACHINGU🤲🤲🤲
2026-07-16 15:19:25
0
Hadija Ibrahimu :
SWADAKTA
2026-07-16 16:53:46
0
Hadija Juma :
Kweli kabisa
2026-07-16 16:36:54
0
SabraMuccadam :
Kweli shekhe wetu
2026-07-16 11:00:23
0
To see more videos from user @raxhfordmziwanda, please go to the Tikwm
homepage.