mm comment 2 ty za mwanzo nishaona hii ujumbe hainifai 😂😂😂😂i quit yoow
2026-07-16 14:53:32
0
mG lady :
Mwanaume hawezi kuchukua nafasi ya baba angu baba angu atabaki kwenye nafasi yake na mume atabaki kwenye nafasi yake baba aliye nilea ananafasi kubwa kwenye maisha yangu hamuwezi kunivurunga ubogo mimi
2026-07-16 11:10:42
26
Oscar msuri :
mnatuchanganya hizi miushaur ni mingi sana
2026-07-16 09:42:22
17
ernestmaster :
baba afananishwi
2026-07-16 11:19:30
15
mamanoreen5 :
Mambo ya goti kupinda na kaskazini ni wapi na wapi jamn😂😂😂
2026-07-16 06:49:30
13
ciah💕 :
hapo kwenye kumzd baba ang asahau kbs😂
2026-07-16 15:57:18
1
demure2612 :
Usimfananishe baba mzazi na anasa za dunia😀
2026-07-16 12:24:49
7
Rhoda Paul😊🤭 :
Sifa Kuu ya Mwanaume awe ana UTISHO.....
Ubarkiwe Sana Baba Kwa Neno Zuri,Japo Kwa zama Hizi Watu n Ngumu kuelewa Hili ✍️Baba Zetu Tunawaogopa,Tunawatii,Tunawanyenyekea kwasababu Ya UTISHO...
NI Ngumu Kutii Mwanaume uliyemzoea...
2026-07-16 09:39:26
6
IQ🍎 :
husifananishe mzee wangu na vitu vya Ajabu pastor😂
2026-07-16 16:12:22
1
Hilda Bonfase :
aaawe uongo
2026-07-16 11:11:18
1
Elune Ritte :
Nilimwachaa mtu kwasababu siwezi kumuheshimuu kumbee nipoo sahihii
2026-07-16 11:56:17
1
happy :
noted
2026-07-16 15:47:43
0
mwaney.home.essentials :
Mtatuua na ushauri uwiiih🤦♀️🙂↕️
2026-07-16 15:29:15
0
penengu penengu :
subutuuuu
2026-07-16 07:50:38
1
L.u.c.y.🌼 :
Baba ni baba yeye atafuata baada ya baba
2026-07-16 13:37:43
0
ms-aqsa💙 :
Yani tutachanganyikiwa wote n swala la mudaaa 😂
2026-07-16 15:25:44
0
spero195 :
nipo na shost yangu tunamwangalia baba mchungaji
2026-07-16 17:40:59
0
💄💋unstoppablequeen💄💋 :
uwongo bhana we😂
2026-07-16 14:38:52
0
kym :
kwahyo unataka kusema mwanaume nae amuheshimu zaidi mkewe kuliko mama ake ,,, kila mtu na nafasi yake😂
2026-07-16 18:44:26
0
To see more videos from user @suleman_tz, please go to the Tikwm
homepage.