@afya.plus5: Kama Tatizo lako ni konki nichek nikupe muongozo ulio Tayari #mbezibeach #katolo#chunya #geita #mwanza

MrMatembo_HealthWellness
MrMatembo_HealthWellness
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 03:59:48 GMT
7598
187
10
32

Music

Download

Comments

omaromar61105
Bin omar :
Habar hiyo supu kuwa unamenya bilinganya na nyanya then unatia maji halafu unalinywa maji tu au vp
2026-07-16 08:04:25
1
jumakhamissi
jumakhamissi :
kama masiala hiv mbona lahisi hivyo?
2026-07-16 12:26:12
0
nour.nour4664
Nour Nour :
supu tu iĺenyama yake huli
2026-07-16 09:52:29
0
jumakhamissi
jumakhamissi :
samaani bro inamaana siku ya kwanza unachemsha mbili je jioni tena unachemsha zingine mbili?
2026-07-16 12:27:50
0
jumakhamissi
jumakhamissi :
inamaaana siku ya kwanza mchana na jioni unakuwa umekula bilinganya 2 na nyanya 2 jumla kwa siku umekula 4
2026-07-16 12:28:44
1
mebuali
Mebu Ali :
Washauri wamekuwa wengi zaidi ya ugonjwa
2026-07-16 13:18:19
1
To see more videos from user @afya.plus5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About