@mwanzatrending:

MwanzaTrending
MwanzaTrending
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 04:34:20 GMT
416485
7879
260
451

Music

Download

Comments

suleymanyusuph915
putin jr :
wanaosema mzee anaakili gonga like
2026-07-17 13:16:43
190
fahimbajajizanzibar
Fahim bajaji zanzibar :
soon atakubali milion 20 za serekali
2026-08-29 08:38:01
11
mkubwa9843
KKM :
hivi jamani munaijua bilioni kumi lakin au munaongea tu?
2026-07-16 17:10:48
63
khamisijosephperu
khms pr :
kwa njaa niliokuwa nayoo ningekuwa nimeshachukuwa zaman
2026-08-30 08:26:58
0
seth.joseph49
SETh Joseph :
iyo nyumba aiuzikii inaagano
2026-07-16 17:11:11
4
mama.zaujat7
Magdalena🥰 :
uyo kama mimi vitu vya baba agu napelekwa mpaka mahakama mimi hakuna kuuza
2026-08-30 23:12:31
2
user3619040185969
Ray macake :
Labda mwenye nyumba alishakufa na alisisitiza nyumba isiuzwe
2026-07-16 19:51:50
8
cazorl0
mido mpole :
watu awauzi asaiv wanaingia ubia
2026-07-16 17:48:55
14
hamadsheni
Hamad Sheni :
Sheria ya mipango ya matumizi ya ardhi ya miji sura 298.kanuni za mipango ya mji 2018.sheria za halmashauri ya miji sura 288. Anatoka saa 3 asbh.
2026-07-16 18:21:12
18
fettydiaz1
fettydiaz1 :
ety lakin moja kwa chumba icho jmn lakin moja m sitoe we n nyingi😁😁😁
2026-07-16 05:16:51
4
franklinpastor0
Frank :
babu yangu alifika zamani sana kariakoo najilaumu kwanini akuwai maeneo
2026-07-17 04:19:41
3
user6027066637805
Matendo :
huyo ndio mtu strong msimamo ndo itajili
2026-07-17 07:44:06
1
user95452590684470
user95452590684470 :
chukueni billion kumi
2026-07-24 07:30:50
1
zabron1336
Zabron :
Magufuli Ashafariki angetoka
2026-07-16 12:24:47
16
shabanisudi151
Shabani Sudi :
kwani lazima auze hiyo nyumba. pesa hainunui maisha.
2026-07-16 21:05:24
0
khamisibinamu
Binamu dread locks :
wew nyumba yetu hiyo hatuiuzi ng'oo,tunazo 4 hapo kariakoo moja ipo hyo Agrey nyengine ipo Likoma mbili zipo Mtaa wa magila
2026-07-17 20:36:41
1
ruzuna1975
userruzzy :
si yake .sio lazma akubali
2026-07-17 17:07:15
0
user8867292932830
simple but heavy :
billion kumi c atakula zitaisha tuu lkn nyumba na kiwanja vipo tu
2026-07-20 15:39:19
2
user8613074470660
Nelson :
nenda ni biashara yake akiuza amefunga biashara ya laki 1 kila mwezi
2026-07-16 19:50:33
2
user95452590684470
user95452590684470 :
hiyo billion kumi akitumia laki Kila cku atatumia miaka 227
2026-07-24 07:35:26
2
jasmen.yasin
jasmen yasin :
Karibu na cate hotel
2026-08-30 06:20:42
2
eliaskrd
Stide's Elias :
wenye mji wao hao
2026-07-17 17:00:40
1
obbychancy6
obbychancy :
hajapata shida
2026-07-16 13:22:17
4
user4703441420441
alice :
bora achukue ipo siku serikali watampa mwekezaji na ata pata ata mia😁😁😁
2026-08-30 06:26:05
1
marki.martha123
Queenmartha😍mwaipaja :
Billion 10 au afu million 10 mbn hivi jmn
2026-07-29 09:42:23
1
To see more videos from user @mwanzatrending, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About