dah alikuwepo wa aina iyo kaka nikamwacha Kwa dharau na kuufata moyo wangu Kwa mwingine mpk leo najuta kaka kaolewa zake ana maisha safi na niliyemfata nae kaolewa zake na ampendae mapenzi bnh ....
2026-07-16 12:17:36
1
neria_06 :
🥰🥰🥰
2026-07-16 07:38:05
1
Kelvin :
hujakosea mwanetu
2026-07-16 08:10:23
2
Cotaa :
imeeleweka
2026-07-16 10:15:46
1
mo'dgaino :
TRUE
2026-07-16 10:37:22
0
P@z£l ☠️ :
uwakika 💪💪
2026-07-16 08:49:44
0
Raman kidink :
fact
2026-07-16 10:01:10
0
April 24 🇹🇿🇵🇹 :
wangu anaondoka hata kitanda hatandiki
2026-07-16 13:54:19
0
@BUCHURAGOBOY :
Na wanawake wa hivo wamebaki wachache saaaaanaaaaa bro!!!!kama upo nae mshikilie kwa nguvu zote usichelewe kuweka ndani kabisa.Maana hiyo ni dhahabu inayotembea brother
2026-07-16 11:09:57
0
YAPOMAH JR :
kwake na nani? labda kama kwao KATORO😁😁
2026-07-16 09:46:11
0
Kasto Frank :
TATIZO KILA NG'OMBE ANA NDAMA SA NAFANYAJE 😳?
2026-07-16 09:11:14
1
To see more videos from user @ambitious.boi2, please go to the Tikwm
homepage.