@fundi_issa: Replying to @wartham8

FUNDI ISSA ZANZIBAR ✅
FUNDI ISSA ZANZIBAR ✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 05:09:44 GMT
30201
761
141
118

Music

Download

Comments

userjeshi.la.mtu.m
userjeshi la mtu mmoja :
milioni 15 nimejenga nyumba ya vyumba 3 vyote masta seble jiko na paplik toilet Hadi bati na umeme na zege chini ya kuekea tairiz na nimjengo Wa kisasa pia we milioni 20 Bila bati ? 🤣🤣🤣aah upo vzr fundi
2026-07-16 11:04:01
15
issa65051
Issa :
milioni 24 hujeng nyumba vyumba v4 nyumba ya kisasa hujeng labda uweke chumbq km kibirit lakin nyumba km nyumba hujeng hata km ushapiga fondeshen hujeng
2026-07-16 10:57:06
4
naifaras2
nai faras🐎 :
kweli Zanzibar jmn utatukufa
2026-07-16 17:48:23
0
user1650838445690
user1650838445690 :
nae anafanya biashara et ukisimamia mwenyewe kila kit ukenda ukanunua mwenyewe haifiki ustupige😁😁
2026-07-16 14:31:35
0
luckymarley29
luckymarley29🌹 :
Fondesheni tofali milion 20 😳😳😳
2026-07-18 11:20:51
0
user9861261594313
user9861261594313 :
duh hapo sio kweli hata kuezeka bado aaa kaka
2026-07-19 02:48:09
3
master_abdy
master_Abdy :
mm nina 15M, najenga nyumba ya vyumba vingap mpka kuezeka?
2026-07-20 13:20:41
1
dokta_ashraf
dokta_ashraf :
fundi issa watu kiukweli wanakukubali kila swali unalijibu kiuhakika
2026-07-16 06:13:45
6
user79051109709373
user79051109709373 :
Pesa iyo bila bati mbona pesa nyingi iyo
2026-07-16 09:06:07
2
tumtumkareem
Tum Tum kareem :
ujenzi ni gharama kw znzbr kw pes hiyo alosem mbn Iko sawa tu
2026-07-16 20:09:15
0
s_yildirm
S_Yildirm ♌️ :
Hapo ni mpaka unahamia?
2026-07-17 12:27:27
0
siti.ali54
Siti Ali :
foundation peke yake shingapi
2026-07-17 11:06:45
0
khadijaali1727
kh :
kwa vyumba vinne tayar nishajenga kozi tano nikitaka kumalizia itacost bei gan
2026-07-16 09:05:34
0
hashnunhashim
Heroe 2 night 🧑‍🦯‍➡️🌎 ✈️ :
😳 Milion 23 Zanzibar hii ya sasa 🧑‍🦯‍➡️
2026-07-16 15:02:19
0
salma.abdallah561
salma Abdallah :
Hi fundi
2026-07-17 09:05:01
1
alimoha1990
Moha+91 :
kwa Zanzibar ipi 20M ndugu ww ushajenga au unasema tu
2026-07-17 11:53:11
1
user1650838445690
user1650838445690 :
he hapana
2026-07-16 14:28:59
1
abdulrahimsalum95
bin :
kiwanja changu ni 75 kwa 75 foundation unajenga kwa bei gn
2026-07-16 15:45:28
1
issa65051
Issa :
nyumba iliosimamq naurefu mzr wakisasa iliokuwa kubwa ni tofali elf 6 au 6 mia5 milion 6 nanusu iyo tofali tu saruj mifuko 100 iwe pale sh milion 1 lak 8 kuna nondo mchanga kokoto mabao ufund mazaga zaga kibao
2026-07-16 11:09:32
1
user30728620223522
user30728620223522 :
fundi Issa nahitaj plasta nyumba ya vyumba 4 ndani n nje sh.ngap
2026-07-16 08:35:24
1
jemedal1
HOSPITALITY FOR LIFE :
kama umewahi kujenga basi bishana na fundi na kama hujawahi kujenga kaa kwa kutulia, Ujenzi sio usenge kwamba ni rahisi tu kuufanya, ukiamua tu unafanya usenge. ujenzi ni mwanaume kwelikweli kiasi cha pesa alicho kitaja mpaka nyumba ifike hatua hiyo,fundi pia kajinyima sana na presha juu muda wote. pongezi kwako fundi hakika InshaAllah nitakupa moja ya kazi yangu Mungu akitujaalia riziki na afya. upo real mno
2026-07-17 15:41:12
1
ismail.adenrage
Ismail Adenrage :
aa sio kwel bhna unaeza kueka makisio hujui kiwanj kipoj nyumb inaukuwa gan
2026-07-26 20:05:18
0
hassankham1s
Hassan Khamis :
Gharama ni sio GARAMA
2026-07-20 18:03:59
0
user886213676
mamy chia :
mm chumba kimoja t na ukumbi na choo na jiko kwa laki 7 fondeshen siapat
2026-07-16 08:44:17
0
To see more videos from user @fundi_issa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About