ls the same as.....when God says YES nobody can say NO.😭😭
2026-07-23 07:44:06
0
glory maturo :
nakumbuka mwaka jana niliambiwa sinauwezo wa kubeba mimba kizazi kipo mbali nililia sana nikasema sina uwezo wa kuitwa mama ila namshukur mungu mwez wakumi nilibeba mimba na sas namuomba mungu nijifungue salam🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-22 04:35:22
8
RiseWithHer🌸 :
Nakumbuka 2014 nyumba yetu iliezekwa turubai mama alikuwa nje anachuma kisavu akapita jirani yetu mmoja akaanza kumwambia mama nanyie Kama mbuzi kila siku mnakula mboga za majan 😭na mfanye muweke bati uko juu mnatia aibu 🥹.akamalizia kwa kufanya meeeeh meeeh Kama mbuzi 😒nyie MUNGU halali 😭 Yule mama mwezi ulopita amekuja kutuomba unga wa ugali na mboga nyie nyie MUNGU huwa anajibu tena kwa wakat ✌🏽
2026-07-22 15:42:19
2
ney💕 :
fact✔️
2026-07-21 22:16:40
1
jackline Lali :
Hakika Mungu ni mwema kila wakati 🙏
2026-07-22 04:23:29
2
Teacher Tinna❤️ :
Ameen
2026-07-21 12:56:09
1
Letisia Haonga :
amina baba ni zawadi yeyote anaweza kupewa
2026-07-22 12:04:58
1
1002nn :
ni salama rohoni mwangu,
Kristo ameona unyonge wangu🧎🙏