nuhu amenyweshwa na wanted,
wanae ndo walimuingilia, wala nuhu hakutenda kwa hizini yake
2026-07-16 12:10:56
1
Mlokole mim :
swali
2026-07-16 13:43:18
0
Mama Fortuné :
huna jibu
2026-07-16 12:09:06
1
brianotoigo :
sasa huyu anajibu nini....elewa swali
2026-07-16 12:23:40
1
huruma sio malezi :
jibu swali. waliokua mbele yenu akina nani?
2026-07-16 10:57:38
1
Frank :
swali mbona kama halijajibiwa kabisa?
2026-07-16 13:12:58
0
T.S.MAPUYANGA :
NAONA swali halijajibiwa vizuri
2026-07-16 15:19:07
0
MAHUMBO :
Huyu mzee alileta comedy hakujibu swali wakati lilikuwa wazi 🤣🤣🤣
2026-07-16 13:02:11
0
symon :
hujajibu swali bana apa waislam walikuja juz kitambo walikua akina nani
2026-07-16 07:34:49
0
bazuuuu junior :
Nenda straight to the point
2026-07-16 13:12:54
0
Mlokole mim :
alijajibiwa
2026-07-16 13:43:44
0
dommy mwenye roho safi :
sasa. kusema tu ukweli uyu mzee amejibu nn
2026-07-16 14:42:50
0
Amosi Aluphonci :
jibuswali
2026-07-16 06:59:32
1
bazuuuu junior :
hyu mzee amechanganyikiwa na swali anaongea out of point
2026-07-16 13:14:40
0
Iván Qrá :
MBONA SWALI HALIJAJIBIWA ? HALAFU MAZINGE KALETA MAADA TOFAUTI 😂😂😂
2026-07-16 14:51:07
0
kikoi :
Mazinge hujajibu swali, wewe ndiyo imelewa.
2026-07-16 15:37:25
0
RAFU@ :
hivi nikisem nyuma nilikua mtu mziri je inamaan nyuma ya nyuna au inamaan mwanzo nlikua mtu mzuri kabla yahapa? jueni kiswahili jamani daah lugha kidigo inawababaisha
2026-07-16 16:37:10
0
Critical :
Ila wahuni🤣🤣🤣
2026-07-16 06:18:02
0
To see more videos from user @user24098239262565, please go to the Tikwm
homepage.