Habari. Naomba ufafanuzi wa jambo la dini.
Nimeambiwa kwamba mtu akifa akiwa Mkristo, hairuhusiwi kumuombea dua wala kumtolea sadaka, hata kama ni mzazi au ndugu wa karibu. Je, jambo hili ni kweli kwa mujibu wa Uislamu?
Naomba ufafanuzi wako ili nielewe vizuri. Asante.
2026-07-16 07:01:12
1
mamy :
Assalamu alaikum Kuna ndoto naiota mara kwa mara nipo skuli yan nimerudia maisha ya shule inanijia mara kwa mara kwamba mimi ni mwanafunz hiii inamaana gan
2026-07-16 07:29:15
1
zulfa :
Arhamdulillah kwa kila jambo 🤲🤍...
2026-07-16 05:42:48
3
halishbeby collection 😍 :
sub,Hana Allah
2026-07-16 16:14:47
0
@dr HASSAN :
mie nimeota namzika tena baba yangu ina maana gani
2026-07-16 20:04:25
0
hajji bintum :
Assalamualaikum ustadhi mm uwa nikiota mara nyingi uwa inatokea kweli