@mkulimaenterprises: TUNAUZA FUEL SPRAYER PUMPS KWA AJILI YA KUPULIZIA DAWA SHAMBANI | MASHINE ZA KUPULIZIA | AGRICULTURE SPRAYERS 📞 +255 658 375 861 📲 @mkulimasolution @mkulima_solution 🕖 Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) 📍 Tegeta Wazo Hill – Dar es Salaam — FUEL SPRAYER PUMP (25 Litres – 4 Stroke) ni mashine imara inayotumia petrol, maalumu kwa ajili ya kupulizia dawa shambani kwa ufanisi mkubwa. 🔹 Inafaa kwa: • Wakulima wa mazao mbalimbali • Shamba za mboga na matunda • Kupalizia dawa wadudu, magonjwa, na mbolea ya maji • Mashamba makubwa na madogo — ✅ Faida za kutumia Fuel Sprayer Pump: • Inapulizia dawa kwa umbali mrefu • Inaongeza ufanisi wa kazi shambani • Inaokoa muda na nguvu • Haichoki kama mashine za mkono • Inafaa kwa kazi nzito za kilimo — MKULIMA SOLUTION tunauza fuel sprayer pumps za ukubwa na nguvu tofauti kulingana na mahitaji yako. — 📍 Tembelea ofisi zetu au wasiliana nasi kwa: Call / WhatsApp: +255 658 375 861 — #fuelsprayer #sprayerpump #mashinezashamba kilimo kilimotz Tanzania🇹🇿 mkulimasolution mkulima_solution agriculturetools dawa kupaliziamimea DarEsSalaam Bagamoyo MKULIMA SOLUTION | DAR ES SALAAM

Mkulimaenterprises
Mkulimaenterprises
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 05:44:24 GMT
3800
50
4
5

Music

Download

Comments

barakamwansasu1
Baraka Mwansasu :
Muweke na bei ndugu
2026-07-30 09:38:07
0
sopeople44
Sopeople :
Dodoma Tunapataje
2026-10-02 01:28:59
0
yudamlinda
yudamlinda :
Bei gani?
2026-07-21 19:50:05
0
To see more videos from user @mkulimaenterprises, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About