@sherycollection: Hii Qaswida ukiisikiza kwajuu juu huwezi elewa hadi pale utakapopitia mtihani Allah akitie nguvu akupe subra akupe njia katika magumu haya akuepushe nakila kiza kitakachokuwa mbele yako hakika kila mtu anapitia magumu kwa wakati wake nawe ndo wakati wako Mungu anakupima kama utavuka kwenye hili pia haijalishi itachukua mda gani zidi kuomba Mungu na kuswali tu kila kitu kitakaa sawa
Aisha ammy
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 05:54:00 GMT
Music
Download
Comments
Tatu Mzee :
kila baya utakalomfanyia mwenzio nimkopo ipo siku utalilipa tena kwa riba kuwa nasubila shehe we2 mungu atakupa bora zaid
2026-07-16 10:13:42
3
neylah ❤️ :
ila bakwata mmejua kutuliza aya bhana 😭
2026-07-16 15:06:37
1
💝VANE ❤️ :
🙏🙏🙏Allah atajibu hili 😭😭😭😭
2026-07-16 15:10:59
1
asia :
Alhamdulillah ndio tumaini pekee
2026-07-16 12:41:37
2
@jojo 🤴 :
inshallah naili litapita inshallah
2026-07-16 10:24:56
2
Sparta lee🔥🪖 :
Allah hakulipe memah shekh lnshallah
2026-07-16 12:59:40
1
mysallah :
ALLAH ndyo ajuaye ya sir na ya dhahr
2026-07-16 13:52:08
1
Naar☺️ :
Sahihi kwann akufuru yote ni kheyr cr ni aallah
2026-07-16 12:18:55
1
Baby kidoti :
sahihii kipenzi Allah ndioo mjuzi zaidi
2026-07-16 11:24:05
1
Ummu Muu234 :
Sheikh SUBRA zaidi kla lkuepukalo lina kher nawe
2026-07-16 09:51:25
0
INNAH :
Allah yupo na wewe shekh wetu
2026-07-16 12:13:40
0
amirikatogolo :
tupo pamoja na shekhe wetu
2026-07-16 15:47:52
1
Maryam Yunus :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-16 15:06:54
1
Mwafikhan _mwafikhan :
Unaweza ukalichukia jambo kumbe nikheri kwako. na unawaeza ukalipenda jambo kumbe nishari kwako. sikuzote sema Alhamdulillah
2026-07-16 14:02:33
2
To see more videos from user @sherycollection, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.