@ney1collection: Ila 😂😂😂#fyp #trending #tiktokviral #kenyantiktok🇰🇪 #GODISGOOD

ney1collection
ney1collection
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 06:24:55 GMT
59295
3541
180
409

Music

Download

Comments

latifahsalumabas
Latifah_unique :
Hata nikiwa na gorofa sikai na ndugu yangu wala wa mtu acha tuwasaidie wakiwa mbali
2026-07-16 07:41:38
73
sarahmichael217
sarah michael :
warngi haooo😂😂😂😂
2026-07-17 06:18:03
0
reenmom2
Esther 🧚🏻‍♀️ :
Hii ningeweka status jirani angu aione sema hana smartphone😂🙌🏽
2026-07-16 14:08:06
23
user616806981038
christian :
Ndo maan Mungu alimwambia Ibrahim atoke katikati ya ndugu zake
2026-07-16 13:18:32
28
ms....ammy
ms....ammy :
me najuta kwakwel wakurya🙌🙌🙌
2026-07-16 11:34:55
18
tabrisha.mussa
angel Mussa :
warangi wenzangu mpo?
2026-07-16 16:05:13
15
mrsfrank7
Secymassawe25 :
Wagogo mko wapi 😂😂😂😂😂😂
2026-07-16 10:20:37
10
glorie2105
Gloria :
mimi kila siku nasemaga mtu asije kwangu bila taarifa maisha ya mjini ni very expensive kila kitu ni PESA ila kijijini you can eat hata km huna mia kuna mashamba,kuna mazao watu hawakosi chakula ila mtu akikuona mjini unapendeza anafikiri una maisha mazuri kumbe hapo unapasuka kichwa sijui kodi,ada,chakula,gesi, umeme,maji,nauli ya kwenda kazini, bado watoto hawajaumwa na mengine mengi na vyote vinatumia pesa alafu mtu anakuja kwako bila taarifa anakaa mwezi kheeeee jamaniiii hata mm siwezi kwenda kwa mtu nikakaa mwezi hata wiki tu naona shughuli either nimetoa taarifa au ni dharura jamani siwezi. Kwanza i feel peace and safe at my place
2026-07-16 21:08:39
0
rahmamkumbo
kaylah mkumbo99 :
hizo tabia kiukweli ni mbaya
2026-07-16 11:48:48
7
naah.mshunga
Naah mshunga :
wafipa watanishambulia kwasababu niliwaza kwa mawazo yangu nikafikiria nifanyej ili wanielewe hawakunielewa mpaka ntakapo waelewesha kwa mtazamo wangu 🤣🤣
2026-07-16 19:30:51
3
sophyshirima.com
Mama wawili :
mim sikae na ndugu yoyote yule sio wa upande wa mume wala upande wangu hata mdogo wangu sikai nae , nitawasaidia wakiwa huko huko 🙌🙌
2026-07-16 12:23:53
6
displaygasper
Display Gasper :
mbona unawasema warangi jamani 😭😭😭
2026-07-16 21:11:47
0
cattycory_home_store
CATHYCORY_HOME_STORE :
Na ushuhuda 😂💔
2026-07-17 07:06:08
0
byeramaguru
B.M :
wahaya tu ndio hatunaga hizo 🤣🤣🤣
2026-07-16 18:39:35
0
passian7
passian7 :
Dada nielekeze hiii namna yakuweka mtu hapo pemben
2026-07-16 16:24:21
3
nicksonkavishe
nicksonkavishe :
warangi sasa
2026-07-16 19:47:20
2
jasminebashiri8
Jessy :
wapo hapa ngoja niongezee sauti
2026-07-16 16:22:45
3
veel_accessories_point
veel_accessories :
Babaa😂😂😂🙌🏾📌
2026-07-16 21:09:29
1
caro.mariki
Caro Mariki :
Hata kama ikitokea nina gorofa ndugu sitaki kwangu nitamsaidia akiwa mbaliiiiiiiii sitak baba uko sawa kabisaaaa
2026-07-16 11:31:42
5
judithmhando561
Judith Mhando :
Asante sanasana baba barikiwa sana
2026-07-16 13:50:34
3
user37006766632914
Toto la kibondei :
ndugu kwangu hakai tena wanajua kabisa kua siwapendi
2026-07-17 09:42:14
1
felisterrobert428
felisitus :
haya mahubiri si yawekwe kwenye mabango yote makubwa jaman ili kila mtu askie
2026-07-16 19:00:48
1
amjulie30
amjulie30 :
wasukuma
2026-07-16 12:14:58
2
joanmachibya
JHEMMYSBEAUTY&MACHINERY :
its disturbing
2026-07-16 09:44:42
1
ms.___pendo
ms.___pendo :
Kwa kweli sio tambia nzuri kabisa
2026-07-16 09:34:05
2
To see more videos from user @ney1collection, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About