nasikia vibaya sana nikisikia huu wimbo wako...kwani nahisi uchungu unausikia daa zuu..but kila kikuepukacho huwa na kheri na wewe...utakuja kusahau tuu with time
2026-07-16 16:46:32
1
being selie💓💓 :
pole
2026-07-16 19:26:50
0
ommy de brand :
sio Kwa ubaya ila nakuombea sana usiwahi waza kurudi nyuma zuhura wewe hujamkataa ni mungu amekuondoa subir mungu atafanya kitu kwako
2026-07-16 19:36:38
0
sakinah :
pole
2026-07-16 17:17:54
0
Madame :
pole zuchu kweli umechoka
2026-07-16 11:33:01
2
user9261943413803 :
kama zuchu ameachwa sembuse..........
2026-07-16 19:16:59
0
Mwamboneke🤬 :
Zamani watu walikua wanasubili anguko la zuchu ila apa wote tunaumizwa pole daa zuuuh🥺