Nakuelewa kipenz mm huwa naesabu hadi pipi wasiojua biashara yaduka wataona nimasihara
2026-07-16 11:42:08
78
Diana Mgallah :
Na vipi sisi tunaopita kwenye maduk ya watu tunaonja mchel😂😂😂
2026-07-16 07:25:59
66
France tz🪄💫💫 :
yani mimi siku ikiisha bila kumuibia boss jaman huwa najisikia vibaya mno naumia nahisi boss amenizulumu
2026-07-16 13:50:58
23
mwiba :
kaa mwenyewe
2026-07-16 13:54:38
10
Nakashy :
hilo duka ni gumu sana
2026-07-16 11:38:16
22
user610475886777 :
jaman jaman niliuza duka daa jiji la matapeli, boss Kila akija kupiga hesabu hasala laki 2 adi 3 utasikia nakukata kwenye mshahala wakati cjui ziliko enda na mm sijachukua Kuna siku nilipigwa kibao Cha uso,
2026-07-16 15:22:28
7
Linah online business💰💰 :
Unaweza kuona huyu dada kama anazingua lakini wafanya biashara tunaelewa nikikumbuka nilifungua Duka la million 3 nimekuja kuambulia shelvu tupu sina hamu na wafanyakazi mm now wacha napambane mwenyewe nikitoka nafungaa
2026-07-16 07:12:40
7
L@vocalist gospel singer :
yupo sahihi ila wezi wataona anakosea
2026-07-16 07:53:35
21
pendo tupa :
dada upo sahihi sikuhizi uaminifu ni mdogo sana
2026-07-16 12:03:07
10
MTz :
Au basiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-16 17:19:25
2
loycenicolao119 :
mie biashara hizi ntaachwa maskini siwezi kupima kila siku 🤣
2026-07-16 11:58:11
10
Gloria Kileo :
faida ya duka ni hela ndogo ndogo sana. yaani wakiiba ata buku.. kwishneiiii
2026-07-16 12:08:31
14
zulpha :
hii biashara ni vizur kusimamia mwenyewe ukipata udhuru funga tuu
2026-07-16 12:34:28
5
sparkling nuu❣️❣️ :
yooo watu wanajua Kurudisha watu nyuma bana bora uwe serious aki🥺🥺
2026-07-16 07:02:04
7
anitha jailes :
Ndo maana sipat kz make mimi ukiongea ivyo naon unanifokea naanz kulia🙌
2026-07-16 20:37:52
3
Singa Singa :
umuhimu wa camera
2026-07-16 16:27:12
1
Dallaz :
hii inafanywa ni content na ninzuri tunajifunza jinsi ya kufuatilia biashara
2026-07-16 15:21:19
1
Aicah- collection-store :
Yupo sahihi ila unejirekodi ili iweje 😳😳
2026-07-16 19:23:04
1
BINTI MREMBO Beauty 📌 :
Pambana mama..usikubali utani kwenye biashara yako uliopambana ikasimama 🥰
2026-07-16 12:36:32
1
To see more videos from user @rosemarybrast, please go to the Tikwm
homepage.