@frankmavura: Kuna watu Mungu aliwaondoa kwenye maisha yako kwa makusudi, elewa hilo na ulizingatie! 💔 #fypシ #swahilitiktok #frankmavura #people

Frank Mavura
Frank Mavura
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 06:51:03 GMT
12308
1545
87
35

Music

Download

Comments

strong.and.spear
G :
I want to come back here kindly 🤲
2026-07-16 10:39:37
1
cutenatalya4
cutenatalya4 :
perfect
2026-07-16 07:51:31
1
user107610256
said07610256papi :
Asanteeeeeeeeee 😘
2026-07-16 07:10:53
3
shaymadin9
madam charming😊 :
jaman nyie hich kitu linauma uhadithiwe tu Yan achani ila finally am happy now and peacefull in my heart 🥰
2026-07-16 06:58:59
10
tiffany.de.curiou
Tiffany de curious🥰 :
that is true dear thanks 🙏🙏
2026-07-16 07:05:32
2
gradnessemillianm
✨I'M_GEE🔐 :
exactly 💯
2026-07-16 19:10:49
0
jesc01
Jessica :
Nimewaachilia wengi sana ila bado, hadi najiuliza ni mim tu kila Mara nakutana na watu ambao sio sahihi
2026-07-16 12:31:27
13
julesyoussef537
Jules Youssef :
kweli hayo yamenikuta
2026-07-16 18:39:25
4
jajila.backup
JAJILA BACKUP✝️ :
NAHISI YULE MWANAMKE ANGEZAA WATOTO WOTE SIO WANGU NA ANGESEMA NI WANGU UUUUWEII, AHSANTE MWENYEZI MUNGU 🙏
2026-07-16 18:49:11
2
danielduchy
DUCHY👑 :
Sure kabisa Brother 🙏🙏
2026-07-16 16:58:29
2
user7717582533021
fatime collection 🤝 :
naachilia mungu anisaidie katika hilo
2026-07-16 17:35:40
2
fatmammassy805
Fatma Mmassy :
I
2026-07-16 07:06:29
1
user3818766615491
Mercy :
tulibishana kidogo tu nimeamka nimekuta ameniblock everywhere kila namba nayomtafuta nayo anaiblock day 2 leo but the pain😭😭😭😭 MUNGU NISAIDIE
2026-07-16 15:22:33
1
ibrahimsayyed57
Lil dee sayyed :
Nimekuelewa kaka
2026-07-16 13:14:46
1
hawa.haji1
Hawa Haji :
natamani uwepo kwenye contact yangu kaka angu
2026-07-16 11:33:51
1
prince.lyimo
Prince lyimo :
Respect sana kiongozi kwa ujumbe " KUACHILIA " 🙏🏻🤲🫡
2026-07-16 13:01:33
1
mimi.ann85
Mimi Ann :
habari ndugu ..... nashida binafsi na sijui naezaje kukupata
2026-07-16 13:44:53
1
lucy.kapita
Lucy Kapita :
we baba unagusa sana maisha yangu kwa sasa,Yani kama vile unaona live maisha yangu
2026-07-16 09:05:26
1
elite_mindset.tz
elite_mindset.tz :
kabla ya kuachilia unapona kwanza Kwa kuelewa tuuu unalicho kizungumza. massage delivered 🙏🙏🙏
2026-07-16 20:08:35
2
hawa.haji1
Hawa Haji :
nilikua naona na najua ila wao hawajui kama najua kuhusu wao nimeona mengi ila Karma will
2026-07-16 11:33:12
1
b.e.lliavie
Rose Victory :
uko sahihi kabisa kaka yule mchaga angeniua na pressure
2026-07-16 08:04:39
1
engineer.mathayo
engineer mathayo :
kaka unaponya mioyo ya watu wengi sana Mungu akubariki
2026-07-16 09:55:41
1
owehome
OWEH :
Namkumbuka ex hapa afu nakutana na hii 💪🏾🔥
2026-07-16 21:59:25
0
salimkeita923
Salim :
nimekupata saana Kaka angu asante kwa ushauri kaka🥺
2026-07-16 20:37:23
0
m.b.i.b.a
Mbiba :
Amina
2026-07-16 20:39:46
0
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About