Assalam alkeikum ningependa kuwakumbusha ya kwamba huyu ndugu yetu ameenda kutafuta matibabu na Allah amjalie shifaa illa tuwacheni kumpost kwasababu hakika sisi wanadamu wote hawapo sawa namanisha kuna HASAD..mwacheni amalize matibabu in sha Allah baadae atatoa shukrani
2026-07-16 16:08:34
259
umu wa Gulf ♥️ :
mwenyezi mungu atakufanyia wepesi broo inshaa' Allaah 🤲🫂
2026-07-16 06:57:55
101
halima :
utapon allah yupo nawe
2026-07-16 06:59:52
26
Tumayrah❤️ :
Kwani huyu yupi na yule ni yupi aliefariki jamani mii sielewi☹️
2026-08-12 17:57:01
11
oliver Honorath :
duh punzika kwa amani 😭😭 tutakukumbuka xan
2026-08-12 20:50:10
5
samiuu 45 salma :
uta pona allah yupo na ww
2026-07-16 13:01:58
24
zuuh love :
allah akufanyie wepes upone
2026-08-12 16:41:29
0
RIMAS CHERK :
allah atakujalia kila la kher
2026-07-16 11:25:19
6
khamismasms151 :
HAWA WANATUCHANGANYA HATUMJUI YUPI
2026-08-12 15:00:30
0
lulu :
Allah atakuondolea mazito yote kila jambo lina khry ni subra
2026-08-28 18:24:20
0
Manda Msakuzi :
mm ndio sielew nilivyoona na nnachokiona walaa sielew Allha akupe afya njema
2026-08-15 10:43:55
4
kijukuu cha marehem☺ :
unaendeleaj
2026-07-16 06:59:49
6
Ai ha xaid :
Mwenyez mung atakufanyia pesi utapona
2026-07-30 20:16:15
2
Brilly Jr :
jmn mbona mnatuchanganya kwani huyu niyupi na aliyefariki ni yupi mnatuchanganya sana au ni mimi peke yangu sioni vizuli😅
2026-08-15 09:45:24
4
mirumba :
tupeni taarifa hali inaendaje mola amfanyee wepesi kila mwenye maradhi
2026-08-24 07:57:10
2
Zhivago :
Anaondoka au anarejea?
2026-07-16 12:55:11
6
mrs. love ❤️ 😍 💖 :
Allah akufanyie wepesi insha'Allah 🤲
2026-07-17 09:15:27
0
The 👸 :
nilishituka nilizan ni wewe kpenz utakua sawa mungu yupo pamoja na wewe
2026-08-14 08:51:03
4
Rahi love :
Inshallah utona kwa uwezo wake Allah
2026-07-30 13:03:08
1
Ammar Awadh :
mashaallah mungu akuweke
2026-08-07 13:39:57
1
reybaby.6 :
Mungu akufanyie wepesi 🥹🙏 wengi wao wanakuambia umefariki Ila ndio njia moja ya kukupa maisha marefu .Allah akufanyie wepesi 🤲🤲🤲
2026-08-16 08:19:24
1
asma :
mwenyezi mungu atakusaidia kaka
2026-08-27 19:49:15
1
Ms 🦋🦋t£rrano🦋🦋 :
Pole ndg utapona inshaallah🙏🙏🙏
2026-08-13 20:55:26
2
esmailomar525 :
allah atamfanyia wepesi ameeen
2026-07-16 17:57:04
1
To see more videos from user @bany.sahab, please go to the Tikwm
homepage.