@newsupdatemedia: VIDEO: Moja ya wabunge wanaowakilisha Kanda ya Ziwa, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Musukuma, amewajibu wanamitandao Datto Magari na Mwijaku waliokosoa maisha ya watu wa kanda ya ziwa na Sendoff ya kifahari ya Binti Monalisa iliyotikisa mitandao ya kijamii. #newsupdatemedia @imma stopper 🔊🎤✨