@mwaipaya_: #tanzania #tiktokkenya #Tunashinda #viral #TikTokCreatorSearchInsightsIncentive

Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 16 July 2026 07:03:06 GMT
30496
955
130
113

Music

Download

Comments

bonimtoto
bonimtoto :
Duh…. Hizi pesa wanazitoa wapi, kodi zetu au?
2026-07-16 09:14:02
23
enock.makoga
Enock Makoga :
ccm mtahangaika sana lakini chadema hamuiwezi
2026-07-16 09:16:12
22
tannyg98
MUFĄṢ̌3Ř :
aisee kazi kwel kwel
2026-07-16 19:10:38
2
stevendaza961
Mtoto wa mchungaji :
Na haya mambo anayaratibu shekh, kweli dini bado hazina msaada kwetu.
2026-07-16 09:02:41
3
kyoma814
Kyoma Jr :
ogopa technology yaan tutayajua yote
2026-07-16 12:36:01
3
budapest901
kanwAKabi :
ili mtu umtawale mnyime uchumi na elimu ndo nakubaliana na singrada
2026-07-16 11:05:07
13
zegeju.zegeju
zegeju :
😃😀😄 CCM NI KOMEDI
2026-07-16 09:14:16
9
claud.undersk00
Claud undersk00 :
awa mashekhe sijui Wana shida gan
2026-07-17 10:51:34
3
bhokemarwa109
Bhoke Marwa :
mshashindwa kwa Jila la BWANA Yesu Kristo
2026-07-17 10:59:20
2
user804931502002
user804931502002 :
kwanini hizo pesa wasinunue Madawa Hospital.
2026-07-16 20:19:30
2
macks604
macks60 :
tumefika huku 😁😁😁
2026-07-16 09:50:27
2
maiimaa63
maiimaa :
umasikiinii tu umeawajaaa 🥺🥺🥺🥺🥺🥺 ,
2026-07-16 07:09:08
0
basbes_shoe
Laurah :
watanzania shida yetu tunalizika na hela ya siku moja tunasahau watu wanakula hela za maisha yao yote.
2026-07-16 09:15:15
5
james.chumila
chumila jr :
izi si kodi zetu za kununua kibiriti
2026-07-17 14:27:50
2
lucymsengi
Dopabel :
hizi ndio zile bajet za matumizi ya kawaida katika kodi zetu
2026-07-17 02:06:28
1
user7463278123571
user7463278123571 :
Safari hii limetoka fungu kubwa sana lazma tulichangamkie
2026-07-16 08:58:00
2
eliyanabii904
eliya_nabii :
da nmeskiliza adi mwisho nmeumia Sana
2026-07-16 18:13:19
1
stevendaza961
Mtoto wa mchungaji :
Tumefika tulipofika, nani aseme tumefikaje hapa hata uwe chama chochote sema.
2026-07-16 08:54:59
3
mwile193
mwile :
duuuh ccm imeishiwa mbinu zoteeee jaman maandamano muhimu tutoken mnaona sasa
2026-07-16 07:26:25
8
zegeju.zegeju
zegeju :
HAMISA huyu ndiyo yule aliyeimbwa na Dr. Remmy nini?
2026-07-16 09:17:00
3
muhubiri20
the Gardner :
hawawezi hata, kushindana na MUNGU
2026-07-16 15:36:56
1
prms.mom
prms mom :
Sasa milion inabadilisha maisha🤣🤣🤣🤣
2026-07-16 08:03:22
3
brack.angels
black wings :
mbona yeye hakuenda sasa kuchukua hizo pesa
2026-07-16 14:02:05
1
siwacharles
siwa :
pat2
2026-07-16 09:10:54
1
glasswiyne
glasswiyne :
hii sauti ndo hili tunaloliona kwenye hii picha!?
2026-07-16 08:54:36
1
To see more videos from user @mwaipaya_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About