mess ata akiwa anapigana na familia yangu mi ntakua upande wa mess😅
2026-07-16 20:29:40
21
Smart B :
huna point bro
2026-07-16 12:36:06
0
oxygen :
Au GSM anahalibu KOMBE la DUNIA...
2026-07-16 12:30:22
61
Baijan :
Bellingham hamjui vizur messi😅😅
2026-07-16 10:37:25
28
Abuu Salim mbarak :
Marcelo aliekewa baki ya kushoto ya Brazil na Madrid aliwahi pia kusema sana na kuwashauri hata wachezaji wenzake akiwaambia msimkasirishe Messi atatuadhibu kwa namna yoyote mkifanya hivyo. na ndio tumeona tena kwa Bellingham Messi ni ktk sayari nyingine.
2026-07-16 11:03:03
38
Kabir Katial :
Messi the Monster
2026-07-16 18:26:23
4
elon :
Don't mess with messi
2026-07-16 12:06:51
1
remedy_welldone :
mbn beki wa Malaga alimock Messi na mechi iLiisha 0-0 , iLipangwa Argentina washinde acha uongo
2026-07-16 11:28:32
10
MYAMWEZ🇯🇲🇯🇲👌 :
umeongea point
2026-07-16 07:48:13
70
WAHU INTERIOR :
is this Anthony joshu
2026-07-16 16:39:38
1
LEGACY :
kama unakubali Messi ni Monster 👹 gonga like
2026-07-16 19:13:42
18
dele omi_16 :
mwanet jude aljiamulia mambo🤣
2026-07-16 13:03:47
6
ozz brown :
huyo messi alikuwa kwenye form ya avatar state 😂😂
2026-07-16 12:28:22
14
𝓢𝓶𝓪𝓻𝓽♊️𝓽𝓱𝓾𝓰🎲 :
Ukiona amehama position ujue kazi ipo🔥🔥
2026-07-16 13:31:36
12
.......☠☠....... :
kaka acha uongo england wamescore wakaludi kuanza kulinda waakaamua kucheza nyuma huko achen kutupanga bwanaaah
2026-07-16 11:29:39
5
PŔÏÑČ̣Ë N̈ŒŘÏṢ̌👑👨🚀 :
shida yao walirudi nyuma kuanza kukabak wakasau kuwa wanatakiwa kushambulia na wao
2026-07-16 13:41:26
6
Ringtone91 :
daaaah ila hawakumskiliza casemiro kweny interview kwamb usimkasilishe Messi uwanjan😂😂😂
2026-07-16 14:49:29
10
KOUPA. 42. :
uhakk kak uyo dogo namjuw messi 🤣☺️☺️
2026-07-16 07:59:34
7
To see more videos from user @bisomapro, please go to the Tikwm
homepage.