samuely. mabala. kibada :
wanao amini gonga like ,,,,kuwa,, lazima mumoja awe chini kimaisha,,pale mumoja alipenda sana💕💕. yeye akamuona hafai ko ni maisha ya kila siku ,,hasa mwanzo wa balehe wote tumepitia,,,hasa wadada huwa wanadet na madarasa ya juu yaoo,,na sisi maboy kudet na madarasa ya chini,, mapenziii utoto ata ukikua
2026-07-18 03:32:46