@kusagatv: WITO WA KUMSAIDIA MZEE BAKARI IDI MPAYA Tunawaomba wasamaria wema wajitokeze kumsaidia Mzee Bakari Idi Mpaya kwa mahitaji muhimu kama mchele, unga, sukari, mashuka na vingine vya msingi. Pia, tunaomba msaada wa simu ndogo ya kawaida ili aweze kuwasiliana na watu wanaotaka kumsaidia au kumjulia hali. Naomba pia Brother Angu @bolo_paints na wadau wengine na @jembe_car_accessories_ @marandu_investment kusaidia upakaji rangi wa nyumba yake ili kuboresha mazingira yake ya kuishi. Kila mchango, mkubwa au mdogo, utakuwa na mchango mkubwa katika kubadilisha maisha yake. Naomba mwenye hivyo vitu aniambie tu nitafuata nipigie kwa 0624007652 ALPHONCE KUSAGA

MWANDISHI WA WANANCHI
MWANDISHI WA WANANCHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 07:44:32 GMT
45278
3977
48
281

Music

Download

Comments

dullyname
dullyname :
sahihh
2026-07-16 07:49:55
6
mrema616
LAWRENCE 🦁 :
Uyu ni mwalim 100/ anauelewa mkubwasanaa
2026-07-16 10:57:55
3
sillydaboss
daQ…🦋(journalist) 🇹🇿 🇰🇪 :
Fact
2026-07-18 16:47:37
0
billionea.kid.off
billionea kid officially :
Amen amen
2026-07-18 14:17:05
0
chuchurobby7
@chuchurobby :
Amen
2026-07-18 19:58:43
0
neemaolomi4
Neema Olomi :
Amen baba🙏🙏
2026-07-19 11:14:00
0
sedekiaurassa
sedekia urassa :
dah 💪
2026-07-16 08:38:10
1
euncy.willy
Smile girl💞💫 :
Amen babaa
2026-07-16 07:52:13
1
user29262614714120
naomie💕 :
Mwalimu nikisika tu hela napoteza ata sielewi inapoteaje najikuta sina ata Mia
2026-07-19 16:00:19
0
merry.riziki
Merry Riziki :
Amina BABA barikiwa sana
2026-07-18 09:09:11
0
eliphasi.kaika.03
eliphasi kaika 03 :
ameen
2026-07-18 14:33:05
0
user5406202858619
user5406202858619 :
yaan nilisikiliza HD nililia
2026-07-16 08:14:00
2
doreenhubert876
doreen :
Amen Mtumishi wa MUNGU Hakika MUNGU amekuleta ili Utusaidie jaman
2026-07-16 16:22:21
3
naomiathuman175
Naomi Athuman :
Amen
2026-07-16 08:40:30
1
rechomunishi
Rachel Munishi :
Hakika huyu ni Mwl kweli.
2026-07-16 07:52:13
1
user6406541943118
user6406541943118 :
huo ndio ukweli mchungu kwa watu wengi
2026-07-19 15:53:39
0
juliethlaizer
Julieth Laizer :
Hope mmemsikia Mwl Onesmo ✍️Ujumbe umefika kwa Majira sahihi kwa waliosahihi kuelewa 🙌 Mungu akutunze sana Mwl Onesmo
2026-07-16 20:04:25
1
shoespoint5
SHOES-POINT-05 :
Amina🙏🙏
2026-07-17 13:10:21
0
user5406202858619
user5406202858619 :
kweli kabsaa
2026-07-16 08:13:42
1
tolu.mnyama37
Tolu mnyama :
kweli mtumishi
2026-07-17 06:45:53
0
geboroyalbrands_1
Gebo Royal brands 🦅 :
true 🙏
2026-07-19 16:15:10
0
happyness0727
happyness :
amen 🙏
2026-07-17 12:30:49
0
tradermaryflorence
Tradermaryflorence :
ila ndg kero
2026-07-17 10:29:32
0
ivyabra1420
ivyabra🌄 :
kweli
2026-07-17 10:28:50
0
sadira.laizer3
sadira laizer :
ameeen 🙏
2026-07-17 06:28:52
0
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About