Naomba niwape ushuhuda kuna mwaka nilijifungua rafiki zangu waliokua nacho kweli walijifungasha na Mungu awabariki ,,ila kuna mmoja alinihudimia yaani alileta zawadi ya nguvu zake ile huduma inapiga kelele mpaka leo
2026-07-16 16:22:00
44
Penifa kombwe🦋❤️🦋 :
nachokupenda hauna kona kona umenyooka mama
2026-07-16 16:40:18
11
elvani086 :
dorice ceo bm catering una mwaga madini mama🥰
2026-07-16 13:43:19
9
KARIIMA ABDALLAH :
busara nyingi akili kubwa my dada Allah bariq lovle umetufunza kitu mwenye masikio asikie tuache ku fake maisha tuishi maisha yetu
2026-07-16 17:28:46
7
LILYMAM collection :
Asante dada angu kpnz
Don dada angu🥰🥰🥰
hata mi nimejifunza sana,maneno yako kwangu yanaishi mpk leo🔥🥰🥰🥰
nakupenda sana na sitoacha kukupenda kamwe Don dada wangu mie🥰🥰🥰
2026-07-17 10:51:00
5
Madam Mc :
nimeipenda hiyo
2026-07-16 16:43:53
2
malikia wa nguvu :
ila kwenye kula hapana tule ila mengine swa
2026-07-17 08:12:24
6
mom J :
Funzo kubwa sana hili, mwenye masikio na asikie Barikiwa sana Dada
2026-07-17 04:52:26
5
marry paul :
ni kweli
2026-07-16 16:26:38
1
user6111215309600 :
sawa kabisa
2026-07-16 16:38:43
1
First Born :
ushauli wako nimeupenda Sana nakukumbuka yangu Enzi zakuuza Chai uyole tulikua wote ww nimpambanaji Sana Mungu akujalie neema
2026-07-16 12:39:28
9
Florda Mgata200 :
asant dada
2026-07-16 16:17:29
1
Mwegelo@caroline :
ngoja nikufollow☺️☺️☺️
2026-07-17 11:11:18
0
silvia njins :
kweli kabisa
2026-07-17 06:56:02
0
Angel nuhu :
amina dada
2026-07-16 16:41:34
1
Salma Demwa525 :
uyanjile mwanawetu mwaalemi sana
2026-07-17 14:00:33
0
user8844417749594 :
point mumy nakupenda bule
2026-07-16 21:40:55
4
dorah1630 :
Dadanguuu🥰🥰🥰🥰
2026-07-17 06:17:09
0
esther :
nimekuelewa sana
2026-07-17 06:12:44
0
To see more videos from user @dorisluvanda, please go to the Tikwm
homepage.