@safariforex: MENTORSHIP WORKSHOP EPISODE 04 BASIC KNOWELDGE - PART 01 TIMEFRAME IN TRADING!

Safari Forex | SFX10
Safari Forex | SFX10
Open In TikTok:
Region: ZA
Thursday 16 July 2026 07:49:15 GMT
23185
1457
36
23

Music

Download

Comments

filbert.kimati
Filbert Kimati :
Hili somo napenda sana lakini naona gumu sana kuelewa.
2026-07-17 16:20:12
1
gabriel.baydu.jr
Gabriel Baydu Jr. :
nataka ninunue hizi lecture in terms of episode,je Moja Bei Gani from day one adi episode ya mwisho
2026-07-16 08:07:07
1
bm46888
Bm :
Hiyo course za online nazipataje mkuu ?
2026-07-16 19:26:25
1
fat_bey_mtafutaji01
fat bey _42 :
bro kwani mupo dar sehumu gani na full cource how much
2026-07-20 23:26:40
1
marrymicke10
Ride :
tuko pamoja kaka ni mwendo wakuchukua madini mdogo mdogo. timeframe now we goooo.
2026-07-17 16:29:28
2
lexy01660
Lexy01 :
Simple Explanation Deep Meaning 💪💪
2026-07-16 09:08:36
1
kariakophoneaccessories
Mwanza Phone Accessories :
madini 🔥🔥
2026-07-17 17:59:36
1
ally61694
ally :
kk naitaji kujifunza kk mnapatikana wapi
2026-07-17 14:38:27
1
charlesforme
Charles :
huo ubao kwa anayefahamu unaitwaje kwa kizungu anijuze coz am sure that's not a chalkboard 😆 nikitaka kununua nataja jina gani?
2026-07-17 07:23:08
1
gaudnegeorge1
George :
very nice bro ,keep it up
2026-07-20 19:21:33
0
kasukakushaha
Kushaha :
inawezekana nikapata shortcoux online
2026-07-16 13:32:49
1
legacywithmiriam
Miriam Mshana :
Hello, tunahitaji online training.
2026-07-20 17:30:02
0
fadhiri.naftari
Fadhiri Naftari :
naomba mnitumie namba ya mwalimu
2026-07-16 09:52:38
1
gamba811
edwingambam :
Forex guru
2026-07-16 14:03:00
2
mecklaudjr
𝐌𝐞𝐜𝐤𝐥𝐚𝐮𝐝𝐣𝐫 :
Lakezone mkuu
2026-07-16 10:44:37
1
user6007619068121
user6007619068121 :
natamani niwe miongoni kwenye mfunzo lkn nipo mkoan nawezaje
2026-07-16 08:05:34
2
0611ally
Mr anything :
ndo kamali pekee ambayo inafundishwa na anaye kufundisha anaweza kupunwa vile vile
2026-07-16 16:33:50
0
nzitungaelvin
Elvin Timber 12 :
😳😳😳
2026-07-16 08:02:18
2
siril812
siril :
🥰🥰🥰
2026-07-17 14:20:48
1
To see more videos from user @safariforex, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About