@vitarcaretz: 🔥 Asidi Reflux si kiungulia tu. Inaweza kuathiri koo, kifua, usingizi na ubora wa maisha ikiwa haitadhibitiwa mapema. Jifunze kutambua dalili, sababu na hatua za kujikinga. 💬 Andika "ASIDI" kwenye maoni nikutumie mwongozo wa kukusaidia kuelewa hatua zinazoweza kuchukuliwa. #creatorsearchinsights #AfyaYakoo #AsidCare #foryou #villl