@miladu_tv: HEKMA YA SHEIKH WALID Aliekua Sheikh wa Mkoa Dar Es salaam Sheikh Walid Alhad leo akiwa katika Darsa lake la kila siku alfajir Madrasat Tadhamun Magomeni. Baada ya kumalizika kwa darsa hilo mwanafunzi wake mmoja akamuomba Sheikh wamfanyie kisomo cha Burda kwa ajili yake. @miladu_tv #babdeoMiladu #MiladuUpdates

Babdeo Miladu
Babdeo Miladu
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 08:00:11 GMT
147228
11575
473
285

Music

Download

Comments

amina..ahmedi2
Amina.ahmedi2 :
sjawai dodosha chozi kwa mashekhe wote walopita ila kwa huyu shekhe nimelia chozi langu limedodoka
2026-07-16 10:52:16
243
qullatein1
Qullatein1 :
17 july 😎😎
2026-07-16 12:34:29
0
bint.ze
bint ze :
kesho ijuma mapema niko kichangani inshallah❣️
2026-07-16 11:36:50
131
leluusaid
LELUU BEAUTY🦋 :
tarehe 21 tunaadamana hadi bakwata 🙏hatutak Shekh wetu limkute lolote lile
2026-07-16 15:12:46
69
binkhatibually
mnyika_mtumba :
masikitiko ya watu sio nafasi ya ushekh wa mkoa,bali heshima yake inavyo halibiwa
2026-07-16 11:23:32
86
user3377073700583
demha moh'd :
Mashallah mungu barik azid she Walid, Allah bless you and your family and Islamic religion
2026-07-16 18:22:11
0
donald.mmbaga
donald mmbaga :
Mimi ni Mkristo, lakini kwa kweli nilikuwa nikiyasikiliza sana mafundisho ya Shekhe Waalidi. Mafundisho yake yalinikuza sana kiimani; yalikuwa yakinitia moyo, kunipa faraja na kunifanya nitafakari zaidi kuhusu maisha na uhusiano wangu na Mungu. Ninaamini kuwa hata katika kipindi hiki alicho nacho, ataendelea kuwa na nafasi ya kuwafikia watu kupitia mafundisho yake. Ninamuombea Mwenyezi Mungu azidi kumpa hekima, busara na nguvu ili aendelee kuwa chombo cha kuleta mema kwa wengine. Kwangu, vyeo vinaweza kupita na nafasi zinaweza kubadilika, lakini hekima, busara na tabia njema ni vitu vinavyodumu na ndivyo vinavyomfanya mtu aheshimike mbele za Mungu na mbele za wanadamu.
2026-07-16 16:39:53
78
kitema06
🚴‍♀️ اسحك KiTema🌴 :
much respect shekhe🤝
2026-07-16 10:58:22
0
heartbroker0619
Mr Heart Broker👣 :
Dhahabu haiwezi kuchafuliwa👣
2026-07-16 09:09:30
84
shebyshainunstoppable10
STOPPER MABANDO :
Rasmi kama Allah akinijalia mtoto wa kiume jina lake ataitwa walid
2026-07-16 20:09:28
19
fau1.0
Fau cake tools morogoro :
Tusome burda kisirisiri
2026-07-16 12:05:05
47
hassanfesali
Hassan hk :
Jembe hilo hata wakikichafua Allah atamsafisha na kumuinua daraja...
2026-07-16 17:47:41
22
thumaiyah_collection
thumaiyah_collection :
nani Yuko free tusome Burda kisirisiri🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-07-16 14:02:05
29
actor_ragkhan
yuleboy_tall_thenblack :
team kusoma burdah kisiri siri TU like hapa tukutane
2026-07-16 19:55:52
8
user2837433536137
salamy :
Kwaiyo clip ipo mbele ya mda hiii maana leo tarehe 16/07/2026
2026-07-16 11:03:19
7
seif.seisal
Seisal :
iyo ilikua dua ya assemble Madrasa Shamsil maarif
2026-07-16 17:45:49
5
sharkiiy.tiba.asilia
SHARKIIY TIBA ASILIA🇹🇿 :
burda nini
2026-07-16 16:01:07
2
antary50
Antary :
wewe ndo muftu anaye kuja tuko nyuma yako allh akujalie kila zito liwe jepesi kwako inshaallh
2026-07-16 12:42:24
10
mrshussein90
Mrs Hussein 💞 :
Allah akuongoze shekh wetu
2026-07-16 12:32:55
6
mohdmtoro
Mohdmtoro :
Allah atakulipa bingwa Shekh Walid
2026-07-16 10:02:51
9
ayshaothman5
Aysha's_ kitchen 🧑‍🍳 :
Allhamdulillah Allhamdulillah Allhamdulillah Allhamdulillah Allhamdulillah
2026-07-16 10:02:43
8
mrs.ronaldo0
mrs ronaldo :
Wamemdhulumu kwa kweli
2026-07-16 11:14:23
17
official_remmy_006
amad said :
Al Habib wetu Walid alhady, tunakuombea Sanaa na tunakupenda Sanaa 🥰🇰🇪💯
2026-07-16 10:34:06
17
jannah05022
Jannah0502 :
Au tusome burda kisirisiri😂 na mimi mniite
2026-07-16 10:53:55
18
mamnourbby
mamnour :
kipenz chetu♥️
2026-07-16 09:20:48
7
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About