@taarifa.1: katoro igweeee🙌🙌🙌😂😂😂 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #fyyyyyyyyyyyyyyyy #foryoupage

TAARIFA
TAARIFA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 July 2026 08:23:38 GMT
85111
2584
191
378

Music

Download

Comments

mosses_5
Mosses....🪶 :
UNITED STATE OF KATORO
2026-07-16 09:08:57
85
user5783468171843
marry :
change yakatoro ndio wanatupa sisi
2026-07-16 14:23:40
48
risper.akyoo4
Risper&baby G🥰💫 :
Kuna mtu kasema tutaambiwa kila mtanzania alipe pwilioni😂😂😂
2026-07-16 12:29:56
81
msmjeshi
MISS MJESHI❤️🪾 :
katoro ndo UMENIFANYA NIAMIN bilion ni pesa ya mboga😂😂😂😂
2026-07-16 15:45:41
37
user3991555259013
Official Mag 🕊️ :
mim na familia yangu tunasindikiza billion 2 Kwa Dola efu10
2026-07-17 08:08:07
12
user46543406827
Ney Gilbert :
utasikia kila mtanzania alipe pwilioni kwaajili ya deni🤣
2026-07-16 11:00:21
29
daudikafura
Kafura's :
what is katoro😊
2026-07-17 07:51:04
5
zeddy2223
zeddy222 :
katoro tunaenda hatuendi
2026-07-16 15:44:11
9
madamaccessories0
Madam 🌸accessories 🌼 :
Monalisa monalisa ona uku wenzio eti tanzania nzima ndo tumepewa iyo hela 😳
2026-07-16 12:02:45
43
azizamussa137
Azizah ♓ :
USK 😅😂 United States of Katoro
2026-07-16 12:29:01
9
rebecca36098
becca365 :
malekani where malekani which 🥺🥺🥺 and katoro is there for us
2026-07-16 12:46:38
6
electrical.light.decor
fedo :
ka. walisema bilion 1 ni chenji kwann tusiongee nao watukopee hiyo hela
2026-07-16 18:55:42
5
africastrobert1
Africast robert💫❤️ :
alipe zwilioni Kila mtanzania😂😂😂😂
2026-07-16 14:39:23
9
shuarjoas988
ShuarJ :
katoro tuna waomba mlipe deni la taifa kumbe hela mnazo😎😎
2026-07-16 11:54:02
9
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
ila watu wakatoro tunapitia mengi jamn wengine tupo huk tu hatuna Hela msije kutuchangisha bure🤣🤣
2026-07-16 12:31:53
14
husnah0277
husnah ⚘🌹 :
mbona Tanzania hii wiki haipumziki??? nani kagundua hii wiki ni ya moto
2026-07-16 19:44:56
8
veemapozi
Vee22 :
Nani katoka kwa Millard kabla ya kuona hii post😂
2026-07-16 09:12:18
11
justgift96
justgift96 :
Serikali iulizage basi kwanza kabla ya kuchukua mikopo... katoro wanaweza kutupa hiyo hela na chenji 🤣🤣🤣
2026-07-16 13:01:09
6
mpeka.msimbe.dong
MPEKA MSIMBE :
HII SI CHENJI YA KAMATI YA KATORO
2026-07-16 15:45:46
1
pookie07p
Queen-smile😇😁❤️ :
Nywillion😂😂
2026-07-16 10:40:44
3
mydarling491
mydarling❤️🔥Taurus ♉️ :
Inamaanisha serikali haipajui katoro ??? mpk wamepokea msaada
2026-07-16 14:28:24
2
isilam25
jseven isl 🕋🕌 :
Katoro wanaweza kulipa Ata deni la taifa
2026-07-16 19:30:27
1
madame.d387
madame d :
si wangeomba katoro
2026-07-16 14:08:02
1
user281486961208
Saeja :
hahahaa ila Ney et kila mtanzania alipe pwilion kwa ajir ya den
2026-07-17 11:03:17
1
sync6603
noon :
nyie kuna mtu kasema kila mtanzania atalipa pwilioni😂😂😂🙌🙌🙌
2026-07-16 15:50:32
1
To see more videos from user @taarifa.1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About