@daarularqamonlinetv: Bakwata Mna Majungu Mno! Kila siku Majungu Majungu Tuacheni Majungu, Acheni Masheikh wa Mikoa wafanye kazi Maneno ya Mufti Wa Tanzania (kutoka maktaba) #fyppppppppppppppppppppppp #bakwata #tanzania #fypシ゚viral #daarularqamonlinetv
Na wewe Mufti ukileta majungu utahukumiwa na nani?
2026-07-16 19:14:14
8
dady ochu :
sheikh walid mmemfanyia fitna tu hana makosa yoyote
2026-07-16 18:45:30
14
MBWANA RAJAB :
Mrudisheni sheikh Walid
2026-07-17 11:01:57
2
Nadia Ally :
Tusaidie kumrudisha Walidi
2026-07-16 20:21:17
1
FUNDI KANZU 🪡👚 :
shekha kachoka fitna ni nyingi mno
2026-07-16 21:13:18
1
barikix :
raisi tukose hata shehe tukose majani
2026-07-16 21:45:43
2
Mariam :
tunaomba turudishieni shekhe waridi
2026-07-17 09:07:15
1
Zamzam Tronix :
tunataka Walid 😓😓
2026-07-16 19:36:40
1
🇹🇿🇺🇬🥰 :
mmmmmh afya inawapa watu kibri maana hiki kibri chote ni afya🥺
2026-07-16 20:52:40
1
Yaumu Juma :
tuludishie shekhe wetu basi nafsi zetu ziwe na amani tumechoka kulia🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-16 21:06:22
6
silah Looh :
basi kama huoend majungu kwann umemuondoa shekhe walidi kwa majungu shekhe kwann
2026-07-17 10:52:00
0
Aisha Buteta :
mrudisheni shekhe wetu Walid.
2026-07-16 20:11:36
0
WADUBAI :
tunamtaka walid wetu🙏
2026-07-16 19:59:48
0
usermr yaba wizzy babilony :
bakwata n chama kinachoendeshwa na serikali amna k2
2026-07-16 23:26:13
1
Amina Abdallah :
Mrudishen walid
2026-07-16 19:05:59
4
Saaada :
Iv saiv Kuna viongozi wa dini kweli Kuna mda nasemaga una shida swali tuu ndani Lia na mola wako saiv ety dini imekuwa ya kukosoana iv kweli inalilah wa inalilah rajuuni huu msiba mzito sana tulipo fikia
2026-07-16 21:35:37
1
chimoo :
JAMAN RAISI TUMEKOSA NA SHEIKH PIAH JAMN MUNGU TUMEKUKOSEA NN
2026-07-16 21:54:56
1
Abdulrazzaq87 :
kwahil sion haja ya uwongoz wa bakwat
2026-07-16 19:13:27
1
ummuabumami :
yaaaa salaam waleta majungu na hii inaonyesha hawaheshimu utu wa watu wanaendeleza majungu mufti Fanya Jambo kipenzi cha watu
2026-07-16 18:44:45
2
living_general354 :
ah ah kumbe bakwata ipo chini ya serikali leo afadhali mufti ameongea kwa uzuri kabisa.... 😂
2026-07-16 19:51:45
2
salumu ijumaa :
wewe ndio umewateua ninani alomtengua kama si wewe tunakuomba mfuti wetu tunakupenda kama tunavyowapenda shekhe walid turudishie walidi bakwata mmetukosea sana watanzania kwa walidi hapana mnatuumiza
2026-07-17 08:16:12
1
To see more videos from user @daarularqamonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.