@collagen.karseell: Karseell Curly hair care #curlyhairtutorial #curlyhairstyles #curlyhairtips #curlyhair #karseell

Karseell_Salon
Karseell_Salon
Open In TikTok:
Region: GB
Thursday 16 July 2026 09:18:43 GMT
5563
57
1
4

Music

Download

Comments

user8624560012163
user8624560012163 :
شكد السعر
2026-07-16 10:55:13
0
To see more videos from user @collagen.karseell, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

💬 Imeniuma sana Mwalimu kama huyu kupoteza nafasi yake kubwa Mwalimu ambaye alijitahidi ku uunganisha umma japo kua tunaweza pishana katika msimamo kidogo. Haijalishi imetokea nini kilitokea nini ilikuaje kweli au sikweli.. Haqqi ya Allah imejengeka katika msamaha Allah anasamehe Allah ni mwingi wa msamaha Allah hamshushi daraja mja wake kwa kosa moja ikia atafanya tawba ya kweli bali huyabadili mabaya yake kua mema✍️ 💬Nasaha zangu kwa kila Dai mpenda khery unaesambaza daawa wakike au wakiume kwa posters au sauti au hata kwa kuonekana Hii ni Ajenda mpya ya Shaytwani kuizuia daawa kufika mbali kwa kuwatisha watu ambao wanahimma kubwa kuifikisha daawa mbele kupitia kuwachafua viongozi wao ili tuogope kusonga mbele... 💬Sisi sio malaika shaytwaan anatuumiza vichwa sasa hivi na kututia hofu kupitia makosa tulio wahi kupitia au kuyafanya nyuma ya aina yoyote ile ili kuturudisha nyuma na kutufanya tuogope kusimama na kuendelea kusamabaza khery lakin tusikate tamaa haijalishi tutapitia nini vya kweli au uongo tusimame kwa unyenyekevu tusiache tawba na istighfar tuendelee na daawa kwa sababu Allah pekee ndie anae jua NIA ZETU🤍 🌿Ni nani ambae hajawahi kukosea katika maisha yake Na ni nani ambae yeye hua ana fanya mema peke yake. Mtume s.a.w anasema kila mwanadamu ni mwenye kukosea na mbora wawanao kosea ni yule mwenye kutubia.. ✍️Sisi tuko wachache sana tusikubali kurudi nyuma ✍️ALLAH AWAPE NGUVU WALINGANIAJI WOTE WA KHERY NA AWASITIRI MADHAIFU YAO NA KUWASAMEHE.  📌 FOLLOW LIKE SHARE AND COMMENT  ➡️@guide_qalam ➡️@Abdulazizielajemi

About