@bongo_media: Muigizaji Jacline Wolper amesema kuwa anapenda kuishi vizuri na dada wake wa kazi kwasababu ndiye anayezibeba roho za watoto wake wakati yeye akiwa hayupo nyumbani. Wolper amesema kuwa anamuheshimu dada wake wa kazi kwasababu yeye ndiye mlezi wa watoto wake hivyo ndiyo maana dada wake wa kazi amempa Benz awe anaendesha pia amempatia simu aina ya iphone awe anaitumia. Credit to @mjinifm
ukipunguza makasiriko.
uyu dada ana roho mzuri sana❤️
2026-07-16 12:10:05
1403
user4762629337308 :
mm wangu akiitwa haitiki ila asipoitwa anaitika mwenyewe anakuuliza mama uneniita
2026-07-16 13:46:20
167
high achiever :
naomba niwe dada ako wa kazi
2026-07-16 12:28:52
80
❤❤my baby❤ :
na mfanyakaz ukimpend anaishi na ww vizur
2026-07-16 11:30:19
817
HEM :
akichoka huyu dada nichukue mimi
2026-07-16 12:00:48
228
rebeka :
ninae dada apa akiamua analiamwenyewe bila kosa akiamua anacheka sikunzima bilachakuchekeswa akiamua anaimba kisukuma siku nxima akiamua anachexa kisukuma sikunzia nyie acheb tu
2026-07-16 11:47:17
86
🎀♥️dear me🎀♥️ :
boss wangu wa gulf anasema hii ni AI nisijali😩😩
2026-07-16 15:26:56
57
Binti sayuni :
congratulations
2026-07-16 15:53:59
0
MtutaRose :
My Role Model
2026-07-16 19:26:17
0
Adelina Peter186 :
wasukuma big up 💪
2026-07-16 20:14:07
0
Lydia :
hii ndo maana ya neno tanzania bwana gonga like apa
2026-07-16 11:32:55
128
sharfa bakari :
kwer dad kwer san dad
2026-07-16 19:41:51
0
Firstborn❤❤💞💞💞 :
am searching for a job
2026-07-16 19:22:06
0
babynkya :
mungu akubariki sana kwa moyo wako
2026-07-16 10:35:16
64
COOPER 💜 :
Kwan iphone jaman ni nni kwenye maisha
2026-07-16 13:24:30
26
Fille BK :
Wow wow
2026-07-16 21:37:22
0
sally💐💐 :
niliishi n mchaga mimi sikuwahi kujuta wana roho nzurii sana❤️
2026-07-16 16:09:46
8
Ester🌹🌹 :
uko pw sana mungu akubariki jaman 🥰🥰🥰
2026-07-16 13:32:04
8
happyherman :
wengine tuliambulia matusi
2026-07-16 11:16:34
48
tinatana :
Mi nilijaribu kufanya kazi za ndani niliapa sitarudia
2026-07-16 13:27:34
45
Pamela🇴🇲🇹🇿 :
mwenyez MUNGU akubariki zaid
2026-07-16 13:06:09
6
Vera cosmetics 🧴 :
Mimi wangu amenambia awezi kazi sababu nmemnyima asiende vubarazan kwa majirani😌
2026-07-16 13:26:57
12
jacque :
huyo dada kama mdada wangu akubali watoto walale bila kusali yani hata niwe wapi atapiga simu tusali na watoto iwe wanalala au asubuh wanaenda shule nakumbuka nililazwa na mtoto wangu wa 3 mchanga yani nilikuwa na amani kumuachia watoto na anafanya ratiba zote kama nipo nyumbani kwenye kusali ananipigia simu alaf yy ni muislamu na yupo kuhudhulia maombi ya kikristo
2026-07-16 13:12:51
25
Anna kyando :
kama ni ya kweri haya maneno Mungu akubariki na usije kupungukiwa na kitu chochte🙏
2026-07-16 11:34:46
23
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm
homepage.