@aweryskitchen: 🍱: Kisinia Pacha Extra (Double Delight Platter) 🔥 ♨️: Ukitaka uhondo wa aina mbili kwa pamoja, basi hili ndilo chaguo lako! Kisinia hiki kimesheheni biriyani ya kuku, wali, nyama, ndizi na vionjo vingine vitamu vitakavyokufanya urudi tena. 📍: Sinza White Inn ⏰: Opening Hours: 9am - 11pm ☎️: 0758 223 723 🗺️: BOLT Andika Awery’s Kitchen ( Usisahau alama ya ‘ ) Usisubiri kusimuliwa, karibu uonje utamu wa viwango. Tunawapenda sana! Karibuni tena kesho na siku zote. 💛🙌🍽️